Wimbo wa Kikristo | Ushuhuda wa Maisha

03/09/2018

Siku moja huenda nikakamatwa na kuteswa na CCP,

kuteseka huku ni kwa ajili ya haki, ambayo najua moyoni mwangu.

Maisha yangu yakitoweka mara moja ghafla bin vu,

bado nitasema kwa fahari kwamba nimemkubali Kristo wa siku za mwisho.

Ikiwa siwezi kuona tukio kuu la ukuaji wa injili ya ufalme,

bado nitatoa matarajio mazuri zaidi.

Ikiwa siwezi kuiona siku ambayo ufalme unafanikishwa,

lakini naweza kumwaibisha Shetani leo, basi moyo wangu utajawa na furaha na amani.

Maneno ya Mungu yanaenea kote duniani, mwanga umeonekana miongoni mwa binadamu.

Ufalme wa Kristo unainuka na unaanzishwa ndani ya dhiki.

Giza liko karibu kupita, alfajiri ya haki imewadia.

Wakati na uhalisi umemtolea Mungu ushuhuda.

Nikiwa mfia dini, na nisiweze tena kumtolea Mungu ushuhuda,

injili ya ufalme bado itaenezwa kama moto wa nyikani na waumini wasiohesabika.

Ingawa sijui naweza kuitembea njia hii yenye mabonde kwa umbali gani,

bado nitautoa moyo wangu unaompenda Mungu.

Nikiishuhudia kazi Yake ya siku za mwisho, nikitenda mapenzi Yake duniani,

ni furaha yetu kujitoa wenyewe kueneza ukweli.

Bila kutatizwa na dhiki, kama dhahabu safi iliyotengeneza katika tanuu,

kutoka kwa ushawishi wa Shetani kunaibuka kikundi cha askari washindi.

Maneno ya Mungu yanaenea kote duniani, mwanga umeonekana miongoni mwa binadamu.

Ufalme wa Kristo unainuka na unaanzishwa ndani ya dhiki.

Giza liko karibu kupita, alfajiri ya haki imewadia.

Wakati na uhalisi umemtolea Mungu ushuhuda.

Maneno ya Mungu yanaenea kote duniani, mwanga umeonekana miongoni mwa binadamu.

Ufalme wa Kristo unainuka na unaanzishwa ndani ya dhiki.

Giza liko karibu kupita, alfajiri ya haki imewadia.

Wakati na uhalisi umemtolea Mungu ushuhuda.

Maneno ya Mungu yanaenea kote duniani, mwanga umeonekana miongoni mwa binadamu.

Ufalme wa Kristo unainuka na unaanzishwa ndani ya dhiki.

Giza liko karibu kupita, alfajiri ya haki imewadia.

Wakati na uhalisi umemtolea Mungu ushuhuda.

Wakati na uhalisi umemtolea Mungu ushuhuda.

kutoka kwa Mfuate Mwanakondoo na Imba Nyimbo Mpya

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp