269 Ushawishi wa Mungu Kwetu

1 Nimejawa tumaini kwa ajili ya ndugu Zangu, na Naamini kwamba hamjavunjika moyo wala kukata tamaa, na haijalishi kile ambacho Mungu anafanya, ninyi ni kama chungu chenye moto na mnaweza kushikilia mpaka mwisho, mpaka kazi ya Mungu ifichuliwe kwa ukamilifu, na mpaka mchezo wa kuigiza ambao Mungu anaelekeza ufike katika hitimisho la mwisho wake. Sina matakwa mengine kwenu. Kila Ninachotumai ni kwamba muweze kuendelea kushikilia, kwamba musiwe na wasiwasi kwa ajili ya matokeo.

2 Kila Ninachotumai ni kwamba mshirikiane na Mimi ili kazi Ninayopaswa kufanya ifanyike vizuri, na kwamba hakuna atakayesababisha pingamizi au usumbufu. Sehemu hii ya kazi ikishatimizwa, Mungu atawafichulia ninyi kila kitu. Baada ya kazi Yangu kutimizwa, Nitawasilisha sifa njema yenu mbele ya Mungu kutoa maelezo Kwake. Je, hilo si bora?

3 Kile ambacho Mungu anakuruhusu kujua na kuelewa ni mapenzi Yake. Hakuruhusu wewe ufikirie juu ya kazi Yake ya siku za usoni. Yote tunayohitaji kufanya ni kumwamini Mungu na kufanya mambo kulingana na uongozi Wake, kushughulikia matatizo halisi kwa utendaji, kutofanya mambo kuwa magumu kwa Mungu. Tunapaswa tu kwenda kufanya tunachopaswa kufanya—maadamu tunaweza kuwa katika kazi ya Mungu ya wakati uliopo hiyo inatosha!

4 Njia Ninayowaelekeza kwayo ni kazi Yangu, na iliamriwa na Mungu kitambo sana ili tuweze kuamuliwa kabla kufika umbali huu, hadi leo—kwamba tumeweza kufanya hili ni baraka yetu kubwa, na ingawa haijakuwa njia rahisi, urafiki wetu ni wa milele, na utapitishwa moja kwa moja katika enzi.

5 Kama zilikuwa nderemo na kicheko au huzuni na machozi, yote yanajumlisha kumbukumbu zetu nzuri! Labda mnapaswa kujua kwamba Sina siku nyingi kwa ajili ya kazi Yangu. Nina miradi mingi sana ya kazi, na Siwezi kuandamana nanyi mara kwa mara. Kwa sababu urafiki wetu wa asili bado uko vilevile. Natumai kwamba mambo tuliyoshirikiana hapa awali yatakuwa kipeo cha uzuri wa urafiki wetu.

Umetoholewa kutoka katika “Njia … (8)” katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 268 Kufanikiwa au Kushindwa Kunategemea na Ufuatiliaji wa Mwanadamu

Inayofuata: 270 Shikilia Imara Kile Mwanadamu Lazima Afanye

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Wasiliana Nasi
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp

Maudhui Yanayohusiana

47 Furaha Katika Nchi ya Kanaani

1 Kurudi nyumbani kwa Mungu, nahisi furaha na msisimko. Nina bahati kuona hatimaye Mwenyezi Mungu wa vitendo. Maneno Yake huwaongoza watu...

115 Nimeuona Upendo wa Mungu

1 Mwenyezi Mungu, ni Wewe unayenipenda. Katika ulimwengu mchafu Umenichagua mimi! Hivyo nimekuja mbele Yako, naam, nimekuja mbele Yako,...

84 Umuhumi wa Maombi

1 Maombi ni njia moja ya mwanadamu kishirikiana na Mungu, kuita Roho Wake na kuguswa na Mungu. Kadiri unavyoomba zaidi, ndivyo...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki