Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

Upendo Mkuu wa Mungu ni wa Kina Kama Bahari

I

Upendo mkuu wa Mungu ni wa kina kama bahari, na najua hili kupitia tu uzoefu wangu hata leo.

Nachukia kwamba nimepotoshwa sana, nikiasi na kupinga mara nyingi sana hadi namsikitisha Mungu.

Mungu ananiinua kufanya wajibu wangu, lakini yote ninayofanya ni kujiinua mwenyewe na kujishuhudia mwenyewe.

Ninatumia kwa ajili ya Mungu kwa sababu ya matokeo na hatima yangu tu, asili yangu ni ya udanganyifu, ya ubinafsi na ya uchoyo.

Ingawa mimi ni mwasi sana, Mungu bado ananijali. Yeye ni mwenye mvumilivu na mwenye subira, Akinipa fursa ya kutubu.

Eh Mungu! Ni kwa sababu tu Unanionyesha huruma kila wakati ndiyo nimefika umbali huu.

II

Kupitia hukumu ya Mungu na usafishaji, napata maumivu makubwa na natakaswa.

Kwa kuona kwamba Mungu anapata maumivu mengi kuniokoa, nafahamu zaidi deni kubwa ninalodaiwa na Yeye.

Maneno ya Mungu yananifichua na kunihukumu, na ni hapo tu ndipo ninaona wazi uovu wa nafsi yangu.

Ni mapigo, kuadhibu, upogoaji na kushughulika kwa Mungu ndivyo vinavyonileta polepole kuishi kwa kudhihirisha mfano wa mwanadamu.

Maneno ya Mungu kweli ni ukweli, Mungu hulipa gharama kubwa sana kuwaokoa wanadamu.

Eh Mungu! Hukumu yako na kuadibu ni baraka, na zaidi ya hayo ndio wokovu wa mwisho.

III

Bila hukumu na kuadibu kwa Mungu, ningepatwa na maangamizo na uharibifu.

Mungu hulipa gharama ya juhudi sana, ili nipate kutakaswa na kubadilishwa leo.

Kwa kupitia hukumu ya Mungu nimepata mengi sana, kumjua Mungu ni baraka yangu kubwa zaidi.

Upendo wa Mungu ni wa kweli na ni wa hakika sana, hata kwa kujitolea yote niliyo nayo, siwezi kuulipiza.

Ingawa barabara ni yenye mabonde, naomba tu kwamba moyo wangu umpende Mungu na kwamba nitimize wajibu wangu kuufariji moyo Wake.

Eh Mungu! Natamani kukupa kila kitu, nitakupenda na kukuabudu milele.

Iliyotangulia:Ufalme

Inayofuata:Mungu Mwenye Haki, Uweza na wa Utendaji

Maudhui Yanayohusiana