Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

93. Watu Wote Wanamsfu Mwenyezi Mungu

I

Mwenyezi Mungu, Yeye ni Mungu mwenye mwili.

Anatoa ukweli, kuhukumu na kutakasa vyote.

Sasa Mungu anashinda juu ya mamlaka ya Shetani.

Anashinda na kupata kundi la watu.

Msifu Mungu mwenye hekima na mwenye uweza.

Amemshinda Shetani.

Tabia yenye haki ya Mungu imefichuliwa.

Wote wanakuja kumsifu Mwenyezi Mungu,

Mungu mzuri, wa utendaji.

Wewe ni mnyenyekevu sana na umejificha.

Tunakusifu Wewe Mwenyezi Mungu!

II

Kila taifa linamsifu Mwenyezi Mungu.

Watu wanaimba na kucheza, wanamsifu Mwenyezi Mungu.

Mawimbi ya baharini yanamsifu Mungu yakitingika kwa uweza.

Ndege angani wanamsifu Mungu wakiruka juu sana.

Ulimwengu na dunia vinamtukuza Mungu.

Viumbe vyote vya Mungu vinamsifu Mwenyezi Mungu.

Wote wanakuja kumsifu Mwenyezi Mungu,

Mungu mzuri, wa utendaji.

Wewe ni mnyenyekevu sana na umejificha.

Wewe ni mnyenyekevu sana na umejificha!

Wote wanakuja kumsifu Mwenyezi Mungu,

Mungu mzuri, wa utendaji.

Wewe ni mnyenyekevu sana na umejificha.

Wewe ni mnyenyekevu sana na umejificha!

Iliyotangulia:Makazi Yangu Yako Wapi

Inayofuata:Mzinduko Kupitia Hukumu

Maudhui Yanayohusiana

 • Ni kwa Njia ya Majaribio ya Kuumiza tu Ndipo Unaweza Kuyajua Uzuri wa Mungu

  I Kufuatilia kuridhika kwa Mungu ni kutenda maneno ya Mungu kwa upendo kwa Mungu. Bila kujali wakati, kama wengine hawana nguvu, ndani, moyo wako bado…

 • Umuhumi wa Maombi

  I Maombi ni njia moja ya mwanadamu kishirikiana na Mungu, kuita Roho Wake na kuguswa na Mungu. Kadiri unavyoomba zaidi, ndivyo utakavyoguswa zaidi, ku…

 • Kristo Hufanya Kazi ya Hukumu kwa Ukweli

  Kazi ya siku za mwisho ni kutenganisha vitu vyote kulingana na jinsi yavyo, kuhitimisha mpango wa usimamizi wa Mungu, kwa maana muda u karibu na siku …

 • Njia … (7)

  Sote tunaweza kuona katika uzoefu wetu wa utendaji kwamba kuna nyakati nyingi ambazo Mungu binafsi ametufungulia njia ili tuwe tunakanyaga njia iliyo…