Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

65 Uhusiano na Mungu

1

Mungu alinichagua kutoka kwa bahari ya makundi,

Akinipangia nije upande Wake.

Maneno Yake ya ukweli na ukarimu yaliupa moyo wangu joto.

Miito Yake ya bidii iliniamsha kutoka ndotoni.

Sauti Yake inayofahamika, uso Wake mzuri

havijabadilika kamwe tangu mwanzo.

Katika nyumba Yake, upendo Wake mtamu nianaonja,

hivyo naegemea karibu na sitamani kuondoka.

Mungu hajawahi kuondoka upande wangu. Anajitolea bila kulalamika.

Nitatupa upotovu na kutakaswa.

Nitaandamana na Mungu milele, milele.

2

Bila Mungu, siku zinakuwa ngumu sana.

Nilikongoja kwa hatua za uchungu.

Ulinzi Wake unaniongoza njia nzima.

Kwa sababu ya maneno ya Mungu, ninaridhika.

Wakati unaleta mabadiliko, dunia itageuka.

Lakini hakuna kinachoweza kuutoa moyo wangu kwa Mungu.

Ahadi ya miaka elfu moja, kiapo kisichobadilika.

Mizunguko ya uzima na mauti, nimerudi katika upande Wake.

Mungu hajawahi kuondoka upande wangu. Anajitolea bila kulalamika.

Nitatupa upotovu na kutakaswa.

Nitaandamana na Mungu milele, milele.

3

Ameshona uzima moyoni mwangu.

Maneno Yake yananikuza, yakinipa majaribu, yakinisafisha.

Mateso na taabu vinafanya maisha yangu kuwa ya nguvu zaidi.

Kushindwa ni kwa kunitia nguvu.

Mungu hajawahi kuondoka upande wangu. Anajitolea bila kulalamika.

Nitatupa upotovu na kutakaswa.

Nitaandamana na Mungu milele, milele.

Mungu hajawahi kuondoka upande wangu. Anajitolea bila kulalamika.

Nitatupa upotovu na kutakaswa.

Nitaandamana na Mungu milele, milele.

Iliyotangulia:Imani Katika Mungu ni ya Furaha Kweli

Inayofuata:Wakati

Maudhui Yanayohusiana