Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

336 Enzi Nzee, Chafu Lazima Iangamizwe na Mungu

1 Oo, enzi hii mbaya na yenye uzinzi! Nitakumeza! Mlima Sayuni! Simama unisifu Mimi! Kwa kukamilika kwa mpango Wangu wa usimamizi, kwa kukamilika kwa kazi Yangu kuu, ni nani athubutuye kutoinuka na kufurahi! Ni nani athubutuye kutoinuka na kuruka kwa furaha bila kukoma! Atakutana na kifo chake mkononi Mwangu. Mimi hutekeleza haki kwa kila mtu, bila huruma hata kidogo au upendo wa fadhila, na bila kupendelea. Watu wote! Simameni ili kutoa sifa, Nipeni utukufu! Utukufu wote usiokoma, kutoka milele hadi milele, upo kwa sababu Yangu na ulianzishwa na Mimi. Nani anayeweza kuthubutu kujichukulia utukufu mwenyewe? Nani anayeweza kuthubutu kuchukulia utukufu Wangu kama kitu cha kimwili? Atauawa kwa mkono Wangu!

2 Ee, wanadamu katili! Niliwaumba na kuwakimu, na Nimewaongoza mpaka leo, ila hamjui angalau hata kidogo juu Yangu na hamnipendi Mimi kabisa. Ninawezaje kuwaonyesha huruma tena? Ninawezaje kuwaokoa? Naweza tu kuwatendea kwa ghadhabu Yangu! Nitawalipa na uharibifu, Niwalipe na kuadibu kwa milele. Hii ni haki; inaweza tu kuwa kwa njia hii. Ufalme Wangu ni imara na thabiti; hautaanguka kamwe, lakini utakuwapo hadi milele! Wana Wangu, wana Wangu wazaliwa wa kwanza, watu Wangu watafurahia baraka pamoja nami milele na milele!

Umetoholewa kutoka katika “Sura ya 81” ya Matamko ya Kristo Mwanzoni katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia:Mungu Aleta Mwisho wa Binadamu kwa Dunia

Inayofuata:Hakuna Awezaye Kuepuka Hukumu ya Mungu

Maudhui Yanayohusiana

 • Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu

  I Kama washiriki wa jamii ya wanadamu, kama wafuasi wa Kristo wa dhati, ni wajibu wetu, jukumu letu kutoa akili zetu na miili yetu kwa kutimiza agizo …

 • Upendo wa Kweli

  1 Namrudia Mungu na kuuona uso Wake upendezao, nikiwa huru kutokana na udhibiti wa kaida za dini. Neno Lake linanijaza na raha na furaha kutoka kwa ne…

 • Ni Muumba Pekee Anayemhurumia Binadamu Huyu

  1 Ni Muumba pekee anayeshiriki na binadamu mapatano ya huruma na upendo yasichovunjika. Ni Yeye pekee Anayetunza viumbe Wake wote, vuimbe Wake wote. K…

 • Furaha Katika Nchi ya Kanaani

  1 Kurudi nyumbani kwa Mungu, nahisi furaha na msisimko. Nina bahati kuona hatimaye Mwenyezi Mungu wa vitendo. Maneno Yake huwaongoza watu kuingia kati…