Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

948 Jinsi Unavyoweza Kufuata Njia ya Wokovu

1 Katika imani yako, ikiwa ungependa kupata wokovu, kiini cha jambo ni ikiwa wewe ni mcha Mungu na ikiwa Mungu ana nafasi ndani ya moyo wako. Ikiwa moyo wako hauwezi kuishi mbele za Mungu au ikiwa hakuna uhusiano au muunganisho kati yako na Mungu, basi kamwe hutaokolewa. Njia yako ya wokovu itazuiwa; utakuwa umefika mwisho kabisa. Imani yako katika Mungu haitakuwa na maana ikiwa ipo kwa jina tu, haitajalisha kiasi cha nadharia unachoweza kusema au umeteseka kwa kiasi gani. Mungu atasema, “Tokeni kwangu, ninyi ambao hutenda udhalimu.” Utakuwa umeainishwa kama mwovu.

2 Wewe hufuata Shetani na pepo. Wewe ni bwana wako mwenyewe. Mwishowe, watu kama hawa wataondolewa, kuchukiwa, kukataliwa, na kuadhibiwa na Mungu. Mungu hawaokoi watu kama hao. Ni wakati tu watu wanapokubali kuwa Mungu ndiye Bwana na Mtawala wao, ni wakati tu wanapokubali kuwa Mungu ndiye ukweli, chanzo cha njia na uzima wa mwanadamu, na ni wakati tu yote wanayofanya na kila njia wanayoitembea vimeunganishwa na ukweli, na Mungu, na utiifu kwa Mungu, na kufuata njia ya Mungu—wakati huo tu ndipo watakapookolewa. Ikiwa sivyo, watahukumiwa na Mungu.

Umetoholewa kutoka kwa “Ukiiishi mbele ya Mungu Kila Wakati tu Ndio Unaweza Kuitembea Njia ya Wokovu” katika Kumbukumbu za Maongezi ya Kristo

Iliyotangulia:Tafuta Ukweli Katika Kila Kitu

Inayofuata:Kufanya Kazi kwa Uzembe Si Kutekeleza Wajibu

Maudhui Yanayohusiana

 • Tilia Maanani Majaliwa ya Binadamu

  1 Mungu anawahimiza watu wa makabila yote, nchi zote na hata nyanja: Sikilizeni sauti ya Mungu na kuona kazi Yake; tilia maanani jaala ya binadamu; mf…

 • Kusudi la Kazi ya Mungu la Usimamizi

  1 Mungu ana mpango wa usimamizi wa miaka 6,000, uliyogawanywa katika hatua tatu, kila moja inaitwa enzi. Kwanza ni Enzi ya Sheria, kisha Enzi ya Neema…

 • Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu

  I Kama washiriki wa jamii ya wanadamu, kama wafuasi wa Kristo wa dhati, ni wajibu wetu, jukumu letu kutoa akili zetu na miili yetu kwa kutimiza agizo …

 • Mradi tu Usimwache Mungu

  Upendo na huruma za Mungu hupenyeza katika kila sehemu ya kazi ya usimamizi Wake, na bila kujali kama watu wanaweza kuelewa nia njema za Mungu, bado …