Moyo Unaorandaranda Wakuja Nyumbani

Na Novo, Ufilipino Jina langu ni Novo, na mimi natoka Ufilipino. Nimemfuata mama yangu katika imani yake katika Mungu tangu nilipokuwa mdogo, na ninge…

Kurejea Kutoka Ukingoni

Na Zhao Guangming, China Mwanzoni mwa miaka ya 1980, nilikuwa katika miaka yangu 30 nami nilikuwa nikifanyia kazi kampuni ya ujenzi. Nilijifikira kuwa…

Mungu Yuko Kando Yangu

Na Guozi, Marekani Nilizaliwa katika familia ya Kikristo, na nilipokuwa na umri wa mwaka mmoja, mama yangu alikubali kazi mpya ya Bwana Yesu aliyerudi…

Bahati na Bahati Mbaya

Baada ya kupitia maumivu na mateso ya tukio hili la ugonjwa, nilitafakari juu ya jinsi nilivyokuwa chini ya udhibiti wa mtazamo wa maisha ya Shetani usio sahihi wa “kujitahidi kuwa bora zaidi kuliko kila mtu mwingine.” Muda huu wote, nilijitahidi kujitokeza miongoni wa wenzangu na kuishi maisha yenye wingi ili wengine wangenipenda na kunitamani. Hata hivyo, sijawahi kufikiri nini nitapata badala yake yalikuwa maumivu na huzuni. Sikupata hata amani na furaha kidogo.

Niliupata Mwanga wa Kweli

Kuanzia hapo kuendelea, sikucheza tena michezo ya video wala kupoteza wakati kwa kwenda kwa KTV. Nilipokuwa na wakati, ningesoma maneno ya Mungu au ningekusanyika na ndugu zangu wa kiume na wa kike kwa ushirika ambapo tungeimba na kumsifu Mungu. Kila siku ilikuwa na wingi wa mambo. Sikujisikia tena mtupu na nisiyejiweza. Aidha, nilikuwa dhahiri kuhusu malengo yangu ya maisha. Nilijua kwamba maana ilikuwa ipatikane kupitia kwa mtu kutimiza wajibu wake mwenyewe mbele ya Mungu na kuishi kwa ajili ya Mungu kama moja wa uumbaji wake.

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp