Mwamko wa Roho Aliyedanganywa

Na Yuanzhi, Brazili Nilizaliwa katika mji mdogo huko Kaskazini mwa China na mnamo 2010, nikafuata jamaa kwenda Brazili. Hapa nchini Brazili, niliju…

Ufanisi

Na Fangfang, China Sote katika familia yangu tunamwamini Bwana Yesu, na wakati nilikuwa muumini wa kawaida tu katika kanisa letu, babangu alikuwa m…

Vita

Na Zhang Hui, China Jina langu ni Zhang Hui, na mnamo mwaka wa 1993 familia yangu yote ilikuja kumwamini Bwana Yesu. Nilikuwa mwenye kutafuta kwa s…

Kupotea na Kurejea Tena

Na Xieli, Marekani Nilikuja Marekani kufanya kazi kwa bidii kama vile ningeweza kutafuta maisha yenye furaha na hali ya juu ya maisha. Ingawa nilit…

Dhoruba ya Talaka Yazimwa

Na Lu Xi, Japani Mnamo mwaka wa 2015, rafiki yangu alinishawishi nianze kumwamini Mwenyezi Mungu. Baada ya kupokea kazi ya Mwenyezi Mungu ya siku z…

Kupenya Ukungu ili Kuona Mwanga

Haya kweli ni mapambano ya kiroho. Mungu huonyesha ukweli katika siku za mwisho ili kuwaokoa binadamu, lakini Shetani hufikiria kila njia inayowezekana kutumia shinikizo na mateso kupitia mwanangu wa kiume, binti mkwe wangu, na serikali ya CCP kunizuia kuamini katika Mungu na kumfuata Mungu. Anaogopa kwamba nitaikubali kazi ya Mungu katika siku za mwisho na kuuelewa ukweli. Kwa hiyo nitatofautisha asili yake mbovu, ya kutisha, ya kishetani, ya pepo na kumsaliti na kumtelekeza, na kupata wokovu wa Mungu.