Uzinduzi wa Kiroho wa Mkristo
Na Lingwu, Japani Mimi ni mtoto wa miaka ya themanini, na nilizaliwa katika kaya ya kawaida ya mkulima. Kakangu mkubwa alikuwa mgonjwa na asiyejiweza …
Tunawakaribisha watafutaji wote wanaotamani sana kuonekana kwa Mungu!
Na Lingwu, Japani Mimi ni mtoto wa miaka ya themanini, na nilizaliwa katika kaya ya kawaida ya mkulima. Kakangu mkubwa alikuwa mgonjwa na asiyejiweza …
Baada ya hilo, sikujihadhari tena dhidi ya ndugu wa Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wakati wowote nilipokuwa na muda ningesoma neno la Mungu na kutazama video, filamu, video za muziki, nyimbo, filamu za muziki na maonyesho mengine yaliyotolewa na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Kadiri nilivyozidi kutazama haya yote, ndivyo nilivyozidi kuhisi kupewa, na ndivyo nilivyozidi kuhisi raha. Nilidhibitisha kutoka kwa moyo wangu kwamba Mwenyezi Mungu ndiye kuonekana kwa Bwana Yesu.
Lakini nilihisi udhibitisho moyoni mwangu kwa njia ambayo ndugu kutoka Kanisa la Mwenyezi Mungu waliishi, jinsi walivyoishi haikuwa ya uongo, ilikuwa onyesho la maisha yao baada ya kutenda maneno ya Mungu. Kwa sababu walizifuata nyayo za Mwanakondoo, walikuwa na kazi ya Roho Mtakatifu, na walikuwa na neno la Mungu kama uzima wao, waliweza kuishi kwa kudhihirisha mfano wa Mkristo wa kweli anayeleta utukufu kwa Mungu na kumshuhudia Mungu.
“Ingawa Yehova, Yesu, na Masihi yote yanawakilisha Roho Wangu, majina haya yanaashiria tu enzi tofauti katika mpango Wangu wa usimamizi, nayo haya…
Mwenyezi Mungu anasema, “Kwa miaka mingi, imani ya watu ya kitamaduni (hiyo ya Ukristo, moja ya dini kuu tatu za dunia) imekuwa ni kusoma Biblia; kuji…
Mwenyezi Mungu anasema, “Watu wengi wanaweza kukosa kujali kuhusu kile Ninachosema, lakini bado Nataka kumwambia kila anayedaiwa kuwa mtakatifu wa Mun…
“Kwa kuwa mwanadamu anamwamini Mungu, ni sharti afuate kwa ukaribu nyayo Zake, hatua kwa hatua; anapaswa ‘kumfuata Mwanakondoo popote Aendapo.’ Hawa t…
Mwenyezi Mungu anasema, “Yesu Alipokuja katika ulimwengu wa mwanadamu, Alileta Enzi ya Neema na Akatamatisha Enzi ya Sheria. Wakati wa siku za mwisho,…
Na Xiangwang, Malesia Kutoka nikiwa wa umri mdogo nimemfuata mama yangu, shemasi wa kanisa na mwalimu wa shule ya Jumapili, katika kumwamini Bwana. M…
Na Mu Zhen, Taiwan Nilipokuwa mdogo, nilikuwa mtoto mwerevu na mwenye busara na kwa hiyo daima nilipokea utunzaji wenye upendo wa wazazi, jamaa na mar…
Na Shiyin, China Nilizaliwa katika familia ya Kikristo, na jamaa wangu wengi ni wahubiri. Nilimwamini Bwana pamoja na wazazi wangu tangu nilipokuwa md…
Na Novo, Ufilipino Jina langu ni Novo, na mimi natoka Ufilipino. Nimemfuata mama yangu katika imani yake katika Mungu tangu nilipokuwa mdogo, na ninge…
Na Yuanzhi, Brazili Nilizaliwa katika mji mdogo huko Kaskazini mwa China na mnamo 2010, nikafuata jamaa kwenda Brazili. Hapa nchini Brazili, nilijuana…
Na Zhao Guangming, China Mwanzoni mwa miaka ya 1980, nilikuwa katika miaka yangu 30 nami nilikuwa nikifanyia kazi kampuni ya ujenzi. Nilijifikira kuwa…
Na Muyi, Korea ya Kusini “Upendo mwingi wa Mungu amepewa binadamu kwa ukarimu, unamzunguka binadamu; binadamu ni mnyofu na asiye na hatia, aliye huru …
Na Fangfang, China Sote katika familia yangu tunamwamini Bwana Yesu, na wakati nilikuwa muumini wa kawaida tu katika kanisa letu, babangu alikuwa mmoj…
Na Jianding, Amerika Nilizaliwa katika familia ya Kikatoliki, na tangu nikiwa na umri mdogo mamangu alinifunza kusoma Biblia. Wakati huo, Chama cha Ki…
Na Gangqiang, Marekani Nilikuja Singapore peke yangu mnamo mwaka wa 2007 ili kujaribu kujipatia riziki. Singapore kuna joto sana mwaka mzima, kwa hivy…