Uchaguzi wa Maneno ya Mwenyezi Mungu

Uchaguzi wa Maneno ya Mwenyezi Mungu

Uteuzi kutoka katika maneno ya Mwenyezi Mungu kuhusu kazi Yake umejumuishwa katika kitabu hiki, na unashuhudia kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu katika Enzi ya Ufalme. Unawafanya wale wote wanaotamani sana kuonekana kwa Mungu watambue kwamba Bwana Yesu amesharudi kitambo juu ya mawingu meupe, na kwamba Yeye ndiye Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho—Mwanakondoo aliyetabiriwa katika Kitabu cha Ufunuo ambaye Amefungua kitabu na kuivunja ile mihuri saba.

Matamshi ya Kristo

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp