411 Mungu Atumia Taifa la Jokaa Kubwa Jekundu kama Uthibitisho

1 Mungu amefanya eneo la kazi Yake kuwa dogo katika ulimwengu, kwa kutumia nchi ya joka kuu jekundu kama maonyesho. Anaelekeza nguvu Zake zote na juhudi Zake zote mahali pamoja. Hii itakuwa na matokeo yenye kufaa zaidi na itakuwa ya faida zaidi kwa ushahidi Wake. Ni katika hali hizi mbili ndipo Mungu alisongeza kazi Yake ya ulimwengu mzima kwa watu hawa wenye uhodari duni katika China bara na kuanza kazi Yake yenye upendo ya ushindi ili baada ya watu hawa kuweza kumpenda Yeye, Aweze kutekeleza hatua inayofuata ya kazi Yake. Huu ni mpango wa Mungu.

2 Ni wazi kuhusu namna ya kiasi kukubwa cha gharama ambayo Mungu amelipa na kiasi cha juhudi ambazo Ametumia kwa kutekeleza kazi Yake ndani yetu, kwamba siku yetu imefika. kile ambacho hakilingani na fikira za wanadamu ni kwamba wenyeji wa Magharibi hutuonea wivu kwa kuzaliwa mahali pazuri, Hii ni baraka yetu. Kwa hivyo, kile ambacho hakilingani na fikira za wanadamu ni kwamba wenyeji wa Magharibi hutuonea wivu kwa kuzaliwa mahali pazuri, lakini sisi wote hujiona kuwa duni na wanyonge. Je, huyu si Mungu anayetuinua? Uzao wa joka kuu jekundu ambao wamekuwa wakikandamizwa kila mara wanategemewa na wenyeji wa Magharibi—hii ni baraka yetu kweli. Ninapofikiria juu ya hili, Ninajawa na wema wa Mungu, na upendo na ukaribu Wake.

3 Kutokana na hili inaweza kuonekana kwamba lile afanyalo Mungu ni kinyume cha fikira za wanadamu, na ingawa watu hawa wote wamelaaniwa, Hashurutishwi na shutuma za sheria na Amelenga kwa kudhamiria kazi Yake pande zote za kuzunguka sehemu hii ya dunia. Hii ndio maana nafurahi, ndio maana nahisi furaha ya kupita kiasi. Nani angethubutu kufikiria juu ya jambo kama hili? Lakini leo, hili limetujia sisi bila kutazamiwa. Ni furaha kuu kweli inayostahili sherehe yetu. Natarajia kwamba Mungu ataendelea kutubariki na kutuinua ili sisi tulio katika lundo la samadi tutumiwe kwa kiwango kikubwa na Mungu, hivyo kuturuhusu kulipa upendo Wake.

Umetoholewa kutoka katika “Njia … (3)” katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 410 Ufalme Wote Washerehekea

Inayofuata: 412 Mungu Anatafuta Wale Walio na Kiu ya Kuonekana Kwake

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Wasiliana Nasi
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp

Maudhui Yanayohusiana

132 Mradi tu Usimwache Mungu

Upendo na huruma za Mungu hupenyeza katika kila sehemu ya kazi ya usimamizi Wake, na bila kujali kama watu wanaweza kuelewa nia njema za...

269 Nitampenda Mungu Milele

1 Ee Mungu! Maneno Yako yananiita nirudi Kwako. Nakubali kufundishwa katika ufalme Wako mchana na usiku. Mara nyingi sana nilikuwa dhaifu...

47 Furaha Katika Nchi ya Kanaani

1 Kurudi nyumbani kwa Mungu, nahisi furaha na msisimko. Nina bahati kuona hatimaye Mwenyezi Mungu wa vitendo. Maneno Yake huwaongoza watu...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki