Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

150 Kukua Katikati ya Upepo na Theluji

1

Anga limejaa vipande vidogo vya theluji, vyote vikipepea hadi ardhini.

Wazo linawekwa huru na theluji iliyoyeyuka.

Msimu huo wa baridi, polisi walimchukua babangu.

Mamangu alitoroka kwa bahati nzuri, tangu wakati huo tumetenganishwa

Ni nani aliyemkamata babangu, ni nani aliyemtesa na kumfunga kizuizini kinyume cha sheria?

Ni nani anayenifuatilia kwa hasira, akinilazimisha nikimbie kila mahali ninapoweza?

Familia yetu iliyokuwa na furaha wakati mmoja imeharibiwa kabisa.

Mamangu sasa yuko wapi? Yuko salama?

2

Mara nyingi, nimeota kuhusu kukamatwa kwa mamangu.

Kwa hofu, naamka nikiwa na machozi.

Ninapokuwa dhaifu, maneno ya Mungu yananiongoza na kutegemeza imani yangu.

Kupitia mateso ya mwili, ninapata kupambanua jinsi kazi ya Mungu ilivyo ngumu.

Naona wazi kuwa CCP ni pepo wa kishetani ambao ni maadui wa Mungu.

Wamemwaga damu ya watakatifu wengi, wameyaharibu maisha mengi sana!

Lakini tabia ya Mungu ni ya heshima, na Shetani hakika ataangamia.

Niko imara katika imani yangu, sina wasiwasi tena, na ninatii mipango ya Mungu.

3

Mama, upendo wa Mungu u pamoja nasi, acha tuondoe wasiwasi.

Mungu alilipa gharama ya maisha Yake kuwaokoa mwanadamu.

Mateso na majaribio ni upendo wa Mungu, yanatukamilisha.

Askari wazuri wa Kirsto lazima wafinyangwe kabisa.

Pengine, siku moja, tutakamatwa na kufungwa gerezani.

Labda, siku moja, hatutapata tena nafasi ya kuungana.

Lakini kamwe sitajutia uamuzi wangu wa kumwamini Mungu.

Maneno ya Mungu yakiwa pamoja nami, siko tena mpweke au mwenye woga.

4

Mama, ninatamani sana kushiriki maneno yaliyo ndani ya moyo wangu.

Nimejifunza uhuru katika miaka niliyokukuwa mbali.

Ninapokabiliwa na vizuizi, nimejifunza kumtegemea Mungu; siepi tena.

Ninapotekeleza wajibu wangu, naweza kutafuta ukweli, sitendi tena bila kujali.

Kwa kupitia hukumu na kuadibiwa na Mungu, nimetoa machozi kemkem.

Mimi niliyekuwa kigeugeu wakati mmoja, sasa nimekua.

Mungu amenipa mengi sana kwenye safari hii.

Ninahisi heshima kuu kutekeleza agizo la Mungu leo.

Bila kujali jinsi barabara ilivyo na milima na mabonde, nitalipa upendo wa Mungu.

Iliyotangulia:Ni Nani Anayeufikiria Moyo wa Mungu?

Inayofuata:Nikiwa na Upendo wa Mungu, Sitaogopa

Maudhui Yanayohusiana

 • Furaha Katika Nchi ya Kanaani

  1 Kurudi nyumbani kwa Mungu, nahisi furaha na msisimko. Nina bahati kuona hatimaye Mwenyezi Mungu wa vitendo. Maneno Yake huwaongoza watu kuingia kati…

 • Nimeuona Upendo wa Mungu

  1 Mwenyezi Mungu, ni Wewe unayenipenda. Katika ulimwengu mchafu Umenichagua mimi! Hivyo nimekuja mbele Yako, naam, nimekuja mbele Yako, nikiishi maish…

 • Jinsi Mungu Anavyotawala Vitu Vyote

  1 Kutoka unapoingia katika dunia hii ukilia, unaanza kutenda wajibu wako. Katika mpango na utaratibu wa Mungu, unachukua nafasi yako, na unaanza safar…

 • Mradi tu Usimwache Mungu

  Upendo na huruma za Mungu hupenyeza katika kila sehemu ya kazi ya usimamizi Wake, na bila kujali kama watu wanaweza kuelewa nia njema za Mungu, bado …