Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

140 Natazamia Tuwe Pamoja Hivi Karibuni

1 Barua, wakati uliopita, macho yangu kajawa na machozi. Tulitekeleza wajibu wetu pamoja wakati huo na tulikuwa pamoja mchana na usiku. Kwa sababu nilitaka kuwashinda wengine, kila wakati nilijigamba nilipozungumza. Sikujali hisia zako na nikataa kukubali maoni yako. Mara kwa mara, sikuwa mwenye busara na nilikuwa mwenye msimamo wa nguvu, nilifanya makosa mengi sana, niliwaumiza ndugu zangu na kusababisha vizuizi katika wajibu wetu. Ninapopokea barua yako leo, ukiuliza jinsi ninavyoendelea, nahisi kuwa mdeni wa Mungu hata zaidi, nami nachukia kwamba sikuishi kama binadamu.

2 Katika nyumba ya Mungu, neno la Mungu na ukweli vinatunyunyizia na kuturuzuku. Tulikuwa na chuki isiyo na sababu na kutokuelewana, sasa vyote vimeondolewa na neno la Mungu. Nikikumbuka kuhusu uzoefu wangu wa hivi karibuni, nimepata faida fulani. Kwa kupitia hukumu ya Mungu, tabia yangu potovu imesafishwa. Nagundua kuwa kiburi na majivuno yangu ndiyo sababu yenye kuharibu ya mimi kumpinga Mungu. Kutoka katika maneno Yake, naona kuwa Mungu ni mnyenyekevu na Aliyejificha na mzuri sana. Ninapojua tu kuwa tabia ya Mungu ni ya kupendeza na nzuri ndipo ninapoanza kuufuata ukweli, ubinadamu wangu na hisia ya mantiki zinarudi na kuwa kawaida, nami namshukuru Mungu hata zaidi kwa upendo wa Mungu.

3 Chama cha CCP kinashiriki katika ukandamizaji wa kikatili na mateso, na kinawamata kwa hofu watu wateule wa Mungu. UUnaendeleaje, na uko salama sasa? Uwe mwangalifu kila wakati unapotekeleza wajibu wako na umtazamie Mungu na kumwomba Mungu zaidi, kwani hii pia ni fursa ya kupitia kazi ya Mungu na kupata ukweli. Kila kitu anachopanga Mungu ni kizuri, hebu tutoe shukrani na sifa kwa Mungu. Mungu amefanya kikundi cha washindi na kazi Yake kubwa imekamilika. Wakati huu muhimu, tunapaswa kujitolea kwa injili ya ufalme na kutazamia siku ambayo tutakuwa pamoja—siku ambayo Mungu atapata utukufu—wakati ambapo kila mmoja wetu anaweza kushiriki kuhusu uzoefu na ushuhuda wetu.

Iliyotangulia:Mama, Nimekua Sasa

Inayofuata:Kukimbia Kuelekea Njia ya Mwanga

Maudhui Yanayohusiana

  • Mradi tu Usimwache Mungu

    Upendo na huruma za Mungu hupenyeza katika kila sehemu ya kazi ya usimamizi Wake, na bila kujali kama watu wanaweza kuelewa nia njema za Mungu, bado …

  • Umuhimu wa Mungu Kumsimamia Binadamu

    Usimamizi wa Mungu ni ili kuwapata binadamu wanaomwabudu na kumtii Yeye. Ingawa wamepotoshwa na Shetani, hawamwiti baba tena, hawamwiti baba tena. 1 …

  • Tilia Maanani Majaliwa ya Binadamu

    1 Mungu anawahimiza watu wa makabila yote, nchi zote na hata nyanja: Sikilizeni sauti ya Mungu na kuona kazi Yake; tilia maanani jaala ya binadamu; mf…

  • Nimeuona Upendo wa Mungu

    1 Mwenyezi Mungu, ni Wewe unayenipenda. Katika ulimwengu mchafu Umenichagua mimi! Hivyo nimekuja mbele Yako, naam, nimekuja mbele Yako, nikiishi maish…