Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

148 Sura ya Mama Inayotokomea

1

Siku hiyo, jua lilikuwa likizama chini ya upeo wa macho,

watu wote barabarani walikuwa wakiharakisha kurudi nyumbani.

Ghafla sura ya kawaida ikatokea,

akiwa amevalia sweta niliyokuwa nimemnunulia miaka mingi iliyopita.

Skafu ya bluu isiyokoza iliufunika uso wake.

Ni mamangu, aliyetenganishwa nami kwa miaka miwili, yuko karibu sana nami sasa.

Nilipepesa na kupepesa macho, nisitake machozi yatie ukungu macho yangu.

Nilitaka sana kumkimbilia na kumkumbatia, kumwambia ni mzima.

Nilipoangalia juu, kamera nyingi za uchunguzi zilielekezwa kwenye nyuso zetu.

Ni nani anayejua ni maafisa wangapi waliovaa nguo za raia na wapelelezi wangapi walikuwa wakizungukazunguka.

Ah, mama, nilitaka sana unione, hata mara moja.

Machozi yalitia macho yangu ukungu,

picha ya mgongo wake imetiwa moyoni mwangu.

2

Ninachukia kabisa kwamba China inatawaliwa na pepo.

Mama alikuwa karibu sana, lakini hatukuweza kukutana.

Ah, Mama, hukuniangalia hata kidogo,

lakini angalau najua uko salama sasa.

Ingawa tuko hatarini,

niko tayari kuteseka ili niueneze ukweli katika maisha haya.

Siku moja nikianguka mikononi mwa pepo labda sitaweza kukuona tena,

lakini bado sitajutia uamuzi wangu wa kumwamini Mungu kamwe,

wala sitasahau ni wewe ndiye uliyenileta mbele za Mungu.

Naamini giza litaondolewa hivi karibuni na nuru ya alfajiri.

Baada ya maafa makubwa, ufalme wa haki wa Mungu utaonekana mbele ya macho yetu.

Bila kujali jinsi njia iliyo mbele ilivyo na miamba, upendo wetu kwa Mungu hautasita kamwe.

Nilimtazama mamangu akiondoka, macho yakiwa yametiwa ukungu kwa machozi, niliweza tu kulia buriani kutoka moyoni mwangu.

Iliyotangulia:Kuna Kundi Kama Hili la Watu

Inayofuata:Ni Nani Anayeufikiria Moyo wa Mungu?

Maudhui Yanayohusiana

 • Umuhimu wa Mungu Kumsimamia Binadamu

  Usimamizi wa Mungu ni ili kuwapata binadamu wanaomwabudu na kumtii Yeye. Ingawa wamepotoshwa na Shetani, hawamwiti baba tena, hawamwiti baba tena. 1 …

 • Mradi tu Usimwache Mungu

  Upendo na huruma za Mungu hupenyeza katika kila sehemu ya kazi ya usimamizi Wake, na bila kujali kama watu wanaweza kuelewa nia njema za Mungu, bado …

 • Jinsi Mungu Anavyotawala Vitu Vyote

  1 Kutoka unapoingia katika dunia hii ukilia, unaanza kutenda wajibu wako. Katika mpango na utaratibu wa Mungu, unachukua nafasi yako, na unaanza safar…

 • Kusudi la Kazi ya Mungu la Usimamizi

  1 Mungu ana mpango wa usimamizi wa miaka 6,000, uliyogawanywa katika hatua tatu, kila moja inaitwa enzi. Kwanza ni Enzi ya Sheria, kisha Enzi ya Neema…