Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

Maisha yangu ni Huru na Yamewachiliwa

Moyo wangu unapaa nje, unapaa nje.

Nitalipiza upendo wa Mungu, sitakosa kuonyesha hisia tena.

Wakati mmoja nilisoma visivyo mapenzi ya Mungu na sikujali kumhusu Yeye.

Lakini sasa nimeona kuwa Mungu anangoja upendo wangu.

Nitajaribu niwezavyo kumtosheleza Mungu, na kukubali Aupate moyo wangu.

Tazama, maua yote yamechanua kila mahali; na muziki unaimba mawazoni mwangu.

Nitajaribu niwezavyo kumtosheleza Mungu, na kukubali Aupate moyo wangu.

Tazama, maua yote yamechanua kila mahali; na muziki unaimba mawazoni mwangu.

Naimba upendo wa moyo wangu kwa Mungu.

Moyo wangu una furaha, roho yangu ina raha, iliyotiwa msukumo na upendo wa Mungu.

Kutenda maneno ya Mungu kunanijaza na sifa na furaha.

Ninafurahi sana kula, kunywa na kushiriki maneno ya Mungu.

Nahisi utulivu kuimba wimbo wa upendo kutoka moyoni mwangu.

Mimi sio mnyonge na asiye na hisia tena; nitatuliza moyo wa Mungu.

Nina furaha sana kufurahia upendo wa Mungu; mimi ndiye mwenye furaha zaidi.

Mimi sio mnyonge na asiye na hisia tena; nitatuliza moyo wa Mungu.

Nina furaha sana kufurahia upendo wa Mungu; mimi ndiye mwenye furaha zaidi.

Upendo wa Mungu unaujaza moyo wangu.

Ee Mwenyezi Mungu! Unanipa maisha ya furaha,

kumaliza maisha yangu yaliyopotoka, yaliyoanguka na tupu.

Nitafuatilia mabadiliko, kuishi kwa kudhihirisha ubinadamu wa kawaida,

na kufanya yote niwezayo katika familia ya Mungu.

Ee Mwenyezi Mungu! Nimekupa Wewe moyo wangu.

Ee Mwenyezi Mungu! Moyo wangu unakupenda Wewe.

Maneno yako yameushika moyo wangu; siwezi kukuacha Wewe tena.

Maneno yako yameushika moyo wangu; siwezi kukuacha Wewe tena.

Moyo wangu ni wa Mungu milele.

Iliyotangulia:Hatimaye Nimemwona Mungu

Inayofuata:Upendo wa Mungu Unaenea Duniani Kote

Maudhui Yanayohusiana

 • Tilia Maanani Majaliwa ya Binadamu

  Ⅰ Mungu anawahimiza watu wa makabila yote, nchi zote na hata nyanja: Sikilizeni sauti ya Mungu na kuona kazi Yake; tilia maanani jaala ya binadamu; mf…

 • Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa

  Ⅰ Kwa kuwa Mungu alimwokoa mwanadamu, Atamwongoza; kwa kuwa Anamwokoa mwanadamu, Atamwokoa na kumpata kabisa; kwa kuwa anamwongoza mwanadamu, Atamfiki…

 • Umuhimu wa Mungu Kumsimamia Binadamu

  Ⅰ Usimamizi wa Mungu ni ili kuwapata binadamu wanaomwabudu na kumtii Yeye. Ingawa wamepotoshwa na Shetani, hawamwiti baba tena, hawamwiti baba tena. Ⅱ…

 • Wewe Tu Unaweza Kuniokoa Mimi

  Ⅰ Mnyenyekevu na Uliyejificha, Wewe unaambatana na watu katika matatizo yao, Ukiwapa njia ya uzima wa milele. Unawapenda binadamu kama mwili Wako mwe…