Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

337 Hakuna Awezaye Kuepuka Hukumu ya Mungu

1 Kutoka mahali palipo juu zaidi ulimwenguni, Mungu huchunga kila mwendo wa mwanadamu, huchunga yote ambayo watu husema na kutenda. Hata kila wazo lao la ndani zaidi Hulichunguza na ubayana kabisa, bila kulipuuza—na kwa hiyo maneno ya Mungu hupenya hadi ndani ya mioyo ya watu, yakigonga kila wazo lao, na maneno Yake ni mepesi kung’amua na bila kosa. “Ingawa mwanadamu ‘anajua’ Roho Yangu, yeye pia huikosea Roho Yangu. Maneno Yangu yanaweka wazi uso mbaya wa wanadamu wote, na kuweka wazi mawazo ya ndani kabisa ya watu wote, na kusababisha wote duniani kuanguka chini katikati ya uchunguzi Wangu makini.”

2 Baada ya kusoma maneno ya Mungu, watu wengi hawawezi kustahimili kujitenga na maneno ya Mungu, na upendo kwa Mungu hufurika ndani yao. Hivyo, Mungu kwa mara nyingine Anamlaani Shetani, na mara tena Anafichua sura yake mbaya. “Enzi ambayo Shetani anaendesha ghasia na ni mdhalimu mkuu” pia ni enzi ile ile ambayo Mungu anaanza kazi Yake kuu, rasmi duniani. Kufuatia, Anaanza kazi ya kuangamiza ulimwengu. Kadri Shetani anavyozidi kuendesha ghasia, ndivyo siku ya Mungu inavyokaribia zaidi, na kwa hiyo ndivyo Mungu anenavyo zaidi kuhusu utukutu wa Shetani, hivyo inaonyeshwa kwamba siku ambayo Mungu ataangamiza ulimwengu inakaribia. Huu ndio utangazaji wa Mungu kwa Shetani.

Umetoholewa kutoka katika “Sura ya 9” ya Ufafanuzi wa Mafumbo ya Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia:Enzi Nzee, Chafu Lazima Iangamizwe na Mungu

Inayofuata:Mungu Amepata Utukufu Miongoni mwa Viumbe Wote

Maudhui Yanayohusiana

 • Nitampenda Mungu Milele

  1 Ee Mungu! Maneno Yako yananiita nirudi Kwako. Nakubali kufundishwa katika ufalme Wako mchana na usiku. Mara nyingi sana nilikuwa dhaifu na hasi, m…

 • Umuhumi wa Maombi

  1 Maombi ni njia moja ya mwanadamu kishirikiana na Mungu, kuita Roho Wake na kuguswa na Mungu. Kadiri unavyoomba zaidi, ndivyo utakavyoguswa zaidi, ku…

 • Nimeuona Upendo wa Mungu

  1 Mwenyezi Mungu, ni Wewe unayenipenda. Katika ulimwengu mchafu Umenichagua mimi! Hivyo nimekuja mbele Yako, naam, nimekuja mbele Yako, nikiishi maish…

 • Jinsi Mungu Anavyotawala Vitu Vyote

  1 Kutoka unapoingia katika dunia hii ukilia, unaanza kutenda wajibu wako. Katika mpango na utaratibu wa Mungu, unachukua nafasi yako, na unaanza safar…