Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

Hakuna Anayeielewa Kazi ya Mungu

I

Upendo na huruma ya Mungu

vinapenyeza kazi Yake ya usimamizi

kutoka kipengele cha kwanza hadi cha mwisho.

II

Kama mwanadamu anahisi mapenzi Yake ya ukarimu au la,

Yeye hachoki katika kufuatilia kazi anayohitaji kufanya.

Kama mwanadamu anaelewa usimamizi Wake ama haelewi,

kazi ya Mungu inaleta usaidizi na utoaji ambao unaweza kuhisiwa na wote.

Upendo na huruma ya Mungu

vinapenyeza kazi Yake ya usimamizi

kutoka kipengele cha kwanza hadi cha mwisho.

III

Pengine leo huhisi upendo na uzima ambavyo Mungu anatoa,

lakini bora tu usitoke upande Wake,

wala kutoacha ridhaa yako ya kutafuta ukweli,

siku moja, hakika, utaona tabasamu la Mungu.

Kwani kusudi la Mungu katika kazi Yake ya usimamizi

ni kumtoa binadamu kutoka kwa utawala wa Shetani,

na kutowaacha wale ambao wamepotoshwa na Shetani,

na kupinga mapenzi Yake.

Upendo na huruma ya Mungu

vinapenyeza kazi Yake ya usimamizi

kutoka kipengele cha kwanza hadi cha mwisho.

kutoka katika "Mwanadamu Anaweza Kuokolewa tu Katikati ya Usimamizi wa Mungu" katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia:Wanaosimama Imara Katika Taabu Ni Washindi

Inayofuata:Unapotenda Ukweli Zaidi ndivyo Maendeleo Yako katika Maisha Yanakua Haraka

Maudhui Yanayohusiana