Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

75 Mwenyezi Mungu, Sasa Nina Wewe

1

Mwenyezi Mungu, sasa kwa kuwa tuko na Wewe,

wasiwasi unageuka kuwa furaha.

Kula, kunywa, kufurahia maneno Yako,

tuko pamoja na Wewe kila siku.

Maji Yako yaishiyo yanaturuzuku, tumekirimiwa kwa yote.

Kujua ukweli, kuingia katika ukweli,

vyote vinategemea neema Yako.

Ndugu, leo tunakula, tunakunywa,

na kufurahia maneno Yake, tukiishi katika ufalme Wake.

Dada, leo tunapendana,

na kuwa wa moyo mmoja, tukijali mapenzi ya Mungu.

2

Ilimradi ninaweza kupata ukweli, moyo wangu utaridhika.

Ninakataa raha za kimwili, faida, ubatili na umaarufu pia.

Ee Mungu mpendwa, ukweli ndio nitakaofuata,

nitajitahidi kuutenda wote.

Niishi kwa kutegemea maneno Yako,

nimshinde Shetani, na kumpa Mungu utukufu.

Ndugu, leo tunakula, tunakunywa,

na kufurahia maneno Yake, tukiishi katika ufalme Wake.

Dada, leo tunapendana,

na kuwa wa moyo mmoja, tukijali mapenzi ya Mungu.

3

Daima kufuata nyayo za Mungu, na kuishi mbele Yake.

Kufurahia maneno Yake na kuelewa ukweli,

upotovu wetu unatakaswa.

Tunafanya kazi vizuri na kila mmoja katika wajibu wetu na kumpenda Mungu kwa kweli.

Ni kwa sababu ya upendo wa Mungu ndiyo tunaweza kupata ahadi na baraka Zake.

Ndugu, leo tunakula, tunakunywa,

na kufurahia maneno Yake, tukiishi katika ufalme Wake.

Dada, leo tunapendana,

na kuwa wa moyo mmoja, tukijali mapenzi ya Mungu.

Iliyotangulia:Upendo wa Mungu Unaenea Duniani Kote

Inayofuata:Ni Vizuri Sana Kwamba Mwenyezi Mungu Amekuja

Maudhui Yanayohusiana

 • Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu

  I Kama washiriki wa jamii ya wanadamu, kama wafuasi wa Kristo wa dhati, ni wajibu wetu, jukumu letu kutoa akili zetu na miili yetu kwa kutimiza agizo …

 • Upendo wa Kweli

  1 Namrudia Mungu na kuuona uso Wake upendezao, nikiwa huru kutokana na udhibiti wa kaida za dini. Neno Lake linanijaza na raha na furaha kutoka kwa ne…

 • Furaha Katika Nchi ya Kanaani

  1 Kurudi nyumbani kwa Mungu, nahisi furaha na msisimko. Nina bahati kuona hatimaye Mwenyezi Mungu wa vitendo. Maneno Yake huwaongoza watu kuingia kati…

 • Umuhimu wa Mungu Kumsimamia Binadamu

  Usimamizi wa Mungu ni ili kuwapata binadamu wanaomwabudu na kumtii Yeye. Ingawa wamepotoshwa na Shetani, hawamwiti baba tena, hawamwiti baba tena. 1 …