Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

531 Kutenda Ukweli ni Muhimu Zaidi

1 Unaweza kuzungumza juu ya ufahamu mdogo wakati unashikilia kitabu, lakini unapokiweka chini, huna ujuzi wowote; wewe una uwezo tu wa kuzungumza maneno na mafundisho, na huna ujuzi wa uzoefu. Leo, lazima ujue ni nini muhimu—hii ni sehemu muhimu ya kuingia katika ukweli! Kabla ya chochote kingine, fanya mazoezi yafuatayo: Kwanza soma maneno ya Mungu—jitahidi kuelewa maneno ya kiroho ndani yao, pata maono muhimu ndani yao, tambua sehemu za njia ya kutenda, na kuyaweka yote pamoja. Tafuta kila moja yao, na uingie ndani yao wakati wa uzoefu wako. Haya ni mambo muhimu ambayo unapaswa kufahamu.

2 Nyote mna hali ifuatayo: wavivu, msio na ari, msiotaka kulipa gharama, au kusubiri kwa kukaa tu. Watu wengine hata hutoa malalamiko; hawaelewi malengo na umuhimu wa kazi ya Mungu, na ni vigumu kwao kufuata ukweli. Watu kama hao huchukia ukweli, na hatimaye wataondolewa. Hakuna kati yao anayeweza kufanywa mkamilifu, na hakuna atakayeokolewa. Ikiwa watu hawana uamuzi kidogo kupinga ushawishi wa Shetani, hakuna kitu ambacho kinaweza kufanyika kwao!

Umetoholewa kutoka katika “Utendaji (7)” katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia:Nani Angeelewa Mapenzi ya Mungu?

Inayofuata:Amkeni Karibuni, Ninyi Mlio Werevu

Maudhui Yanayohusiana

 • Ni Muumba Pekee Anayemhurumia Binadamu Huyu

  1 Ni Muumba pekee anayeshiriki na binadamu mapatano ya huruma na upendo yasichovunjika. Ni Yeye pekee Anayetunza viumbe Wake wote, vuimbe Wake wote. K…

 • Nitampenda Mungu Milele

  1 Ee Mungu! Maneno Yako yananiita nirudi Kwako. Nakubali kufundishwa katika ufalme Wako mchana na usiku. Mara nyingi sana nilikuwa dhaifu na hasi, m…

 • Upendo wa Kweli

  1 Namrudia Mungu na kuuona uso Wake upendezao, nikiwa huru kutokana na udhibiti wa kaida za dini. Neno Lake linanijaza na raha na furaha kutoka kwa ne…

 • Nimeuona Upendo wa Mungu

  1 Mwenyezi Mungu, ni Wewe unayenipenda. Katika ulimwengu mchafu Umenichagua mimi! Hivyo nimekuja mbele Yako, naam, nimekuja mbele Yako, nikiishi maish…