Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

56 Msifu Mwenyezi Mungu

Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho,

Wewe ndiwe Mwokozi aliyeonekana tena.

Unaonyesha ukweli, watekeleza hukumu.

Mwanadamu apokea nuru Ukiwa hapa.

Maneno Yako yana nguvu,

mioyo ya watu wote imeshindwa.

Watu wote warudi kwenye kiti Chako,

Sikukuu ya Mwanakondoo wanahudhuria.

Ee Mungu, hukumu Yako ni nuru,

yaonyesha jinsi tulivyofanywa wapotovu.

Ee Mungu, hukumu Yako ni upendo,

upotovu wetu umetakaswa, tumeokolewa.

Mwenyezi Mungu!

Wastahili sifa ya mwanadamu.

Umeleta ukweli na haki.

Tunatupa upotovu na tunatakaswa.

Mapenzi Yako yanafanyika duniani.

Watu Wako washangilia na kusherehekea

kazi yako kuu ikamilikapo.

Nyimbo za sifa zinaimbwa;

zasikika bila kukoma.

Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho,

katika maneno Yako huishi kudura.

Yatuongoza kushinda mateso

na yatusaidia kumshinda Shetani.

Kazi yako ni ya kimiujiza, ya busara,

ni ngumu kufahamu kweli.

Umelitumia joka kubwa jekundu

kufanya washindi, kupata utukufu.

Ee Mungu, hukumu Yako ni nuru,

yaonyesha jinsi tulivyofanywa wapotovu.

Ee Mungu, hukumu Yako ni upendo,

upotovu wetu umetakaswa, tumeokolewa.

Mwenyezi Mungu!

Wastahili sifa ya mwanadamu.

Umeleta ukweli na haki.

Tunatupa upotovu na tunatakaswa.

Mapenzi Yako yanafanyika duniani.

Watu Wako washangilia na kusherehekea

kazi yako kuu ikamilikapo.

Nyimbo za sifa zinaimbwa;

zasikika bila kukoma.

Mwenyezi Mungu, maneno Yako yanaenea

katika nchi, duniani kote.

Watu husujudu mbele ya kiti Chako .

Ee Mungu, umemshinda Shetani,

Umetakasa yote yaliyo ovu.

Ufalme mtakatifu waonekana duniani.

Mwenyezi Mungu!

Wastahili sifa ya mwanadamu.

Umeleta ukweli na haki.

Tunatupa upotovu na tunatakaswa.

Mapenzi Yako yanafanyika duniani.

Watu Wako washangilia na kusherehekea

kazi yako kuu ikamilikapo.

Nyimbo za sifa zinaimbwa;

zasikika bila kukoma.

Iliyotangulia:Amkeni na Kumchezea Mungu

Inayofuata:Kazi Kuu ya Mungu Imekamilishwa

Maudhui Yanayohusiana

 • Tilia Maanani Majaliwa ya Binadamu

  1 Mungu anawahimiza watu wa makabila yote, nchi zote na hata nyanja: Sikilizeni sauti ya Mungu na kuona kazi Yake; tilia maanani jaala ya binadamu; mf…

 • Jinsi Upendo wa Mungu kwa Mwanadamu Ulivyo Muhimu

  Mandhari iliyochorwa katika Biblia "Amri ya Mungu kwa Adamu" ni ya kugusa na yenye kutia moyo. Ingawa hiyo picha ina Mungu na mtu tu, uhusiano kati ya…

 • Wewe Tu Unaweza Kuniokoa Mimi

  1 Mnyenyekevu na Uliyejificha, Wewe unaambatana na watu katika matatizo yao, Ukiwapa njia ya uzima wa milele. Unawapenda binadamu kama mwili Wako mwen…

 • Furaha Katika Nchi ya Kanaani

  1 Kurudi nyumbani kwa Mungu, nahisi furaha na msisimko. Nina bahati kuona hatimaye Mwenyezi Mungu wa vitendo. Maneno Yake huwaongoza watu kuingia kati…