Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho (Chaguzi)

Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho (Chaguzi)
Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho (Chaguzi)

Vikundi

Recital-latest-expression
Matamshi ya Mwenyezi Mungu (Njia ya Kumjua Mungu)

Kwa sababu kwamba wewe ni mmoja wa watu nyumbani Mwangu, na kwa sababu wewe ni mwaminifu katika Ufalme wangu, kila unachofanya lazima kifikie viwango Ninavyohitaji Mimi. Sisemi kwamba uwe tu kama wingu linalofuata upepo, bali uwe kama theluji inayong'aa, na uwe na hali kama yake na hata zaidi uwe na thamani yake. Kwa sababu Nilitoka katika nchi takatifu, si kama yungiyungi, ambalo lina jina tu na halina dutu kwa sababu lilikuja kutoka katika matope na si kutoka nchi takatifu. Wakati ambapo mbingu mpya inashuka duniani na nchi mpya kuenea juu ya anga ndio pia wakati hasa ambao Ninafanya kazi kirasmi miongoni mwa binadamu. Ni nani kati ya wanadamu anayenijua Mimi? Ni nani aliyeona wakati wa kuwasili Kwangu? Ni nani ameona kwamba Mimi sina jina tu, bali zaidi ya jina Nina dutu? Mimi huyasongeza mawingu meupe kwa mkono wangu na kwa karibu Naichunguza anga; katika anga, hakuna kitu kisichopangwa kwa mkono wangu, na chini ya anga, hakuna mwanadamu asiyechangia juhudi yake ndogo kwa ukamilishaji wa shughuli Yangu kuu. Mimi Simwekei mwanadamu madai mazito duniani, kwa maana Mimi daima Nimekuwa Mungu wa vitendo, na kwa sababu Mimi ni Mwenyezi Aliyeumba mwanadamu na Anayejua mwanadamu vizuri. Watu wote wako machoni pa Mwenyezi. Hata wale walio katika pembe zote mwisho wa dunia watawezaje kuepuka uchunguzi wa Roho Yangu? Ingawa mwanadamu anajua Roho Wangu, yeye pia huichukiza Roho Wangu. Maneno Yangu yanaweka wazi uso mbaya wa wanadamu wote, na kuweka wazi mawazo ya ndani kabisa ya watu wote, na kusababisha wote duniani kufanywa wazi na mwanga Wangu na kuanguka chini ndani ya uchunguzi Wangu. Ijapokuwa mwanadamu anaanguka chini, moyo wake hauthubutu kwenda mbali Nami. Miongoni mwa viumbe, ni nani asiyekuja kunipenda kwa sababu ya matendo Yangu? Ni nani asiyekuwa na hamu kwa ajili ya kuyasikia maneno Yangu? Ni nani asiyezaliwa ndani mwake na hisia za ibada kwa sababu ya upendo Wangu? Ni kwa sababu tu ya ufisadi wa Shetani ndio maana mwanadamu anashindwa kuufikia ulimwengu kama Ninavyomhitaji kufika. Hata viwango vya chini kabisa ambavyo Mimi Namhitaji kufika huzalisha mashaka ndani yake, bila kutaja chochote cha leo, enzi ambayo Shetani anaendesha ghasia na ni mdhalimu mkuu, au wakati ambapo mwanadamu amekanyagwa sana na Shetani mpaka mwili wake mzima umejaa uchafu. Ni lini ambapo kutojali kwa mwanadamu kuhusu moyo Wangu kwa sababu ya upotovu wake hakujanisababishia Mimi huzuni? Je, inawezekana kwamba Mimi namwonea Shetani huruma? Je, inawezekana kwamba Mimi Nimekosea katika upendo wangu? Wakati mwandamu ananikaidi, Moyo wangu unaomboleza kwa siri; wakati mwanadamu ananipinga, Ninamwadibu; wakati Ninamwokoa mwandamu na kumfufua kutoka wafu, Mimi Humlisha kwa uangalifu ulio bora zaidi; wakati mwanadamu ananitii, Moyo Wangu unatulia tuli na mara moja Ninahisi mabadiliko makubwa katika mambo yote mbinguni na duniani; wakati mwanadamu ananisifu, itawezekanaje Nisiwe na furaha? Wakati mwanadamu ananishuhudia na kupatwa na Mimi, itawezekanaje Nisitukuzwe? Inawezekana kwamba kila anachofanya mwanadamu hakiongozwi na kutolewa na Mimi? Wakati ambapo Sitoi mwelekeo, wanadamu wanazembea na kuwa wanyamavu, na, nyuma Yangu, wao wanashiriki katika zile shughuli chafu "zenye kusifika." Je, unafikiri kwamba mwili Ninaouvaa, haufahamu chochote kuhusu matendo yako, tabia zako, na maneno yako? Nimestahimili mvua na upepo kwa miaka mingi, na vile vile Nimepitia machungu ya ulimwengu wa binadamu, lakini ukitafakari kwa karibu, hakuna kiasi cha mateso kinachoweza kumfanya mwanadamu aliye katika nyama za mwili kupoteza matumaini ndani Yangu, kama vile hakuna utamu wowote unaoweza kumfanya mwanadamu wa mwili awe bila hisia, mwenye kuvunjika moyo au mwenye kunipuuza Mimi. Je, upendo wa mwanadamu Kwangu una mipaka kwa hali ya kutokuwa na maumivu au kutokuwa na utamu?

Leo hii, Mimi niko katika nyama na nimeanza kirasmi kutekeleza kazi ambayo lazima Niifanye, na hata ingawa mwanadamu anaogopa sauti ya Roho Wangu, yeye huasi kiini cha Roho Yangu. Sihitaji kufafanua jinsi ni vigumu kwa mwanadamu kunijua Mimi Niliye katika mwili kupitia kwa maneno Yangu. Kama Nilivyosema awali, Mimi Simlazimishi mwanadamu katika matarajio Yangu, na si lazima muwe na ufahamu wote kunihusu Mimi (kwa maana mwanadamu amepungukiwa; hii ni hali asili, na ujuzi wa kujipatia hauwezi kubadili hali hii). Mnahitaji kujua tu mambo yote yanayofanyika na kusemwa na Mimi katika hali ya mwili. Na kwa maana mahitaji Yangu si ya kulazimisha, ni matumaini Yangu kwamba mnaweza kuja kujua, na kwamba mnaweza kufaulu. Lazima mjitoe katika uovu wenu kwenye ulimwengu huu mchafu, lazima mjitahidi kufanya maendeleo katika jamii hii ya wafalme wakuu iliyo nyuma kimaendeleo, na msijiruhusu wenyewe kuzembea. Hupaswi kujihurumia hata kidogo: Unastahili kutenga muda mwingi na kuweka juhudi ili ujue lile Nitamkalo kwa siku moja, na maarifa ya hata sentensi moja Ninayonena ina thamani ya mafunzo ya maisha marefu. Maneno Ninayonena ni yakini na dhahania, sio maneno matupu. Watu wengi wanayo matumaini ya kufaidi kutokana na maneno Yangu, lakini Siwapi sikio; watu wengi wanatamani unene Wangu, lakini Mimi Siwapi hata kidogo; watu wengi wanatamani kuuona uso Wangu, lakini kamwe Mimi nimeuficha; watu wengi husikiliza kwa makini sauti Yangu, lakini Mimi hufunga macho Yangu na kupindua Kichwa changu, kwa kuwa kutotikisika na tamaa yao; watu wengi wanahofia sauti Yangu, lakini maneno Yangu daima ni ya kuanzisha vita; watu wengi wana uoga wa kuuona uso Wangu, lakini Mimi huwatokezea kwa maksudi ili niwacharaze waanguke. Mwanadamu kwa hakika hajawahi kuuona uso Wangu na hajawahi kuisikia sauti Yangu, kwa maana yeye hanijui kwa kweli. Hata ingawa yeye anapata pigo kutoka Kwangu, hata ingawa ananiacha, hata ingawa anaadibiwa kwa mkono wangu, yeye bado hajui kama yote anayofanya ni ya kupendeza Moyo Wangu kwa kweli, na bado hana ufahamu kuhusu ni nani ambaye hufichuliwa Moyo Wangu. Tangu uumbaji wa ulimwengu mpaka sasa, hakuna mtu aliyewahi kunijua kwa kweli, au kuniona kwa kweli, na ingawa Nimekuwa mwili leo, nyinyi bado hamnijui. Je, huu sio ukweli? Je, umewahi kuona vitendo Vyangu na tabia Yangu hata kidogo katika mwili?

Mbinguni ndiko mahali Ninakojinyoosha kwenye kiti, na chini ya mbingu ndipo ambapo Mimi Hupata mapumziko. Mimi Nina mahali pa kukaa, na Ninao wakati wa kuonyesha nguvu Zangu. Kama Singekuwa duniani, kama Singejificha ndani ya mwili, na kama Singekuwa mnyenyekevu na msiri, je, si mbingu na dunia zingekuwa zimeshabadilishwa muda mrefu uliopita? Je, si nyinyi watu Wangu, mngekuwa tayari mmetumiwa na Mimi? Hata hivyo kuna hekima kwa matendo Yangu, na ingawa Ninafahamu kikamilifu kuhusu udanganyifu wa mwanadamu, Mimi Sifuati mfano wake, na badala yake Ninafanya mabadilishano nao. Hekima Yangu katika ulimwengu wa kiroho haiishi, na pia hekima Yangu katika mwili ni ya kudumu milele. Je, huu sio wakati hasa ambao matendo Yangu yanawekwa wazi? Nimemsamehe na kufuta dhambi za mwanadamu mara nyingi, mpaka leo, katika Enzi ya Ufalme. Nitaweza kuchelewesha wakati Wangu zaidi tena? Ingawa Nimekuwa na huruma kiasi fulani kwa mwanadamu mdhaifu, pindi kazi Yangu inapokamilika, Ninaweza kujiletea taabu kwa kufanya kazi ya zamani? Ningeweza kwa makusudi kumruhusu Shetani alete mashtaka? Sihitaji mwanadamu afanye kitu chochote ila kukubali ukweli wa maneno Yangu na maana halisi ya maneno Yangu. Hata ingawa maneno Yangu ni rahisi, katika kiini maneno hayo ni machangamani, kwa maana nyinyi ni wadogo mno, na pia mmekuwa wasiosikia. Ninapozionyesha siri Zangu wazi na kufanya wazi mapenzi Yangu katika mwili, hamwoni haya yote; mnaisikikiliza sauti, lakini hamwelewi maana yake. Mimi hukumbwa na huzuni kuu. Ingawa Mimi Niko katika mwili, Ninakosa uwezo wa kufanya kazi ya huduma ya mwili.

Ni nani ambaye amekuja kujua matendo Yangu katika mwili kati ya maneno na matendo Yangu? Ninapofichua siri zangu kwa maandishi, au kuzizungumza kwa sauti, watu wote hupigwa na butwaa, na wanafumba macho yao wakiwa kimya. Kwa nini Ninayosema hayaeleweki na mwanadamu? Kwa nini maneno Yangu hayaeleweki na yeye? Kwa nini yeye ni kipofu kwa matendo Yangu? Ni nani anayeweza kuniona na kamwe asiweze kusahau? Ni nani anayeweza kusikia sauti Yangu na asiiruhusu impite tu? Ni nani anayeweza kuhisi mapenzi Yangu na aufurahishe Moyo Wangu? Ninaishi na kutembea miongoni mwa wanadamu, Nimekuja kutambua wanachopitia, na ingawa Nilihisi kwamba kila kitu kilikuwa kizuri baada ya Mimi kuviumba kwa ajili ya mwanadamu, Sipati furaha kutokana na maisha miongoni mwa wanadamu, na Mimi sifurahishwi na kuwepo kwa furaha miongoni mwa wanadamu. Simchukii wala kumkataa mwanadamu, na wala Mimi Sina mvuto wa upendo kwake-kwa maana yeye hanijui, yeye huona ugumu kuuona uso Wangu gizani, na ana ugumu wa kuisikia sauti Yangu, na hawezi kutambua maneno Yangu, katika kelele hizo. Hivyo, kwa kijuu juu, yote mnayoyafanya ni kwa kunitii, lakini moyoni mwenu, nyinyi bado mnaniasi. Hali asili yote ya zamani ya mwanadamu, inaweza kusemwa, iko namna hii. Ni nani aliye tofauti? Ni nani asiye mmoja wa wale wanaolengwa na kuadibu Kwangu? Lakini ni nani asiyeishi chini ya uvumilivu Wangu? Kama mwanadamu angeangamizwa na ghadhabu Yangu, umuhimu wa kuumba Kwangu kwa mbingu na dunia ungekuwa nini? Wakati mmoja Niliwaonya watu wengi na kuwasihi watu wengi, na kwa uwazi Nikawahukumu watu wengi-je, hili si bora zaidi kuliko kumuangamiza mwanadamu moja kwa moja? Lengo Langu sio kumweka mwanadamu kwenye mauti, bali kumfanya kujua matendo Yangu yote katika hukumu Yangu. Wakati mnapanda kutoka kuzimu, ambayo ni kusema, mnapojiweka huru kutoka kwenye hukumu Yangu, fikira zenu binafsi na mipango yote yatatoweka, na watu wote watanuia kukidhi matakwa Yangu. Na katika hili, je, Mimi Sitakuwa Nimefanikiwa katika Lengo Langu?

Machi 1, 1992

Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho (Chaguzi)

Unapaswa Kujua kuwa Mungu wa Vitendo Ni Mungu Mwenyewe Inapofikia Mungu, Ufahamu Wako ni Upi? Ni Jinsi Gani Mwanadamu Aliyemfafanua Mungu katika Dhana Zake Anaweza Kupokea Ufunuo wa Mungu? Jinsi ya Kuujua Uhalisi Kupata Mwili Mara Mbili Kunakamilisha Umuhimu wa Kupata Mwili Kumwamini Mungu Lazima Kulenge Uhalisi, Si Tamaduni za Kidini Tofauti Muhimu Kati ya Mungu Aliyepata Mwili na Wanadamu Wanaotumiwa na Mungu Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu Kiini Cha Kristo ni Utiifu kwa Mapenzi ya Baba Wa Mbinguni Maelezo ya Kweli ya Kazi Katika Enzi ya Ukombozi Mazungumzo Mafupi Kuhusu "Ufalme wa Milenia Umefika" Unajua Nini Kuhusu Imani? Wote Wasiomjua Mungu Ndio Wanaompinga Mungu Kazi katika Enzi ya Sheria Je, Umekuwa Hai Tena? Wale Wanaomtii Mungu kwa Moyo wa Kweli Hakika Watakubaliwa na Mungu Maoni Wanayopaswa Kushikilia Waumini Je, Kazi ya Mungu ni Rahisi Jinsi Mwanadamu Anavyodhania? Je, Utatu Mtakatifu Upo? Kuwa na Tabia Isiyobadilika Ni Kuwa katika Uadui na Mungu Wale Waliofanywa Kuwa Watimilifu Ndio tu Wanaoweza Kuishi Maisha Yenye Maana Wale Wanaomjua Mungu Pekee Ndio Wanaoweza Kuwa na Ushuhuda Kwa Mungu Mungu Ndiye Chanzo cha Uhai wa Mwanadamu Kuijua Kazi ya Mungu Leo Ni Wale tu Wanaoijua Kazi ya Mungu Leo Wanaoweza Kumhudumia Mungu Kurejesha Maisha ya Kawaida ya Mwanadamu na Kumpeleka Kwenye Hatima ya Ajabu (Sehemu ya Pili) Kazi ya Mungu na Utendaji wa Mwanadamu (Sehemu ya Kwanza) Maana ya Kuwa Mwanaadamu Halisi Mungu na Mwanadamu Wataingia Rahani Pamoja (Sehemu ya Kwanza) Mungu na Mwanadamu Wataingia Rahani Pamoja (Sehemu ya Pili) Kazi ya Mungu na Utendaji wa Mwanadamu (Sehemu ya Pili) Katika Imani Yako kwa Mungu Unapaswa Kumtii Mungu Je, Wewe Ni Muumini wa Kweli wa Mungu? Kurejesha Maisha ya Kawaida ya Mwanadamu na Kumpeleka Kwenye Hatima ya Ajabu (Sehemu ya Kwanza) Unapaswa Kuishi kwa Ajili ya Ukweli kwa Maana Unamwamini Mungu Kazi ya Mungu na Kazi ya Mwanadamu (Sehemu ya Pili) Ni Wale tu Wanaomjua Mungu na Kazi Yake Ndio Wanaoweza Kumridhisha Mungu Kazi ya Mungu na Kazi ya Mwanadamu (Sehemu ya Kwanza) Wafaa Kujua Namna Ambavyo Binadamu Wote Wameendelea Hadi Siku ya Leo (Sehemu ya Pili) Unapaswa Kutafuta Njia ya Uwiano na Kristo Kuonekana kwa Mungu Kumeleta Enzi Mpya Ufalme wa Milenia Umewasili Kujua Hatua Tatu za Kazi ya Mungu Ndiyo Njia ya Kumjua Mungu (Sehemu ya Kwanza) Kujua Hatua Tatu za Kazi ya Mungu Ndiyo Njia ya Kumjua Mungu (Sehemu ya Pili) Matukio Aliyopitia Petro: Ufahamu Wake wa Adabu na Hukumu (Sehemu ya Kwanza) Matukio Aliyopitia Petro: Ufahamu Wake wa Adabu na Hukumu (Sehemu ya Pili) Ni Muhimu Sana Kuelewa Tabia ya Mungu Dondoo kutoka kwa Vifungu Vinne vya Neno la Mungu Kuhusu "Fumbo la Kupata Mwili" (Sehemu ya Tatu) Dondoo kutoka kwa Vifungu Vinne vya Neno la Mungu Kuhusu "Fumbo la Kupata Mwili" (Sehemu ya Pili) Uchaguzi Kutoka katika Mafungu Kumi ya Neno la Mungu juu ya "Kuhusu Biblia" (Sehemu ya Pili) Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima - Tamko la Kumi na Nne Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima - Tamko la Kumi na Nane Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima - Tamko la Kumi na Tisa Mungu Anaongoza Majaliwa ya Wanadamu Wote Kristo Hufanya Kazi ya Hukumu kwa Ukweli Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima - Tamko la Saba Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima - Tamko la Kumi na Mbili Yote Yanafanikishwa Kupitia kwa Neno la Mungu Mwanadamu Aliyeanguka Anahitaji Zaidi Wokovu wa Mungu Mwenye Mwili (Sehemu ya Pili) Kiini cha Mwili Ulio na Mungu Enzi ya Ufalme Ndiyo Enzi ya Neno Tofauti Kati ya Huduma ya Mungu katika Mwili na Wajibu wa Mwanadamu Ahadi kwa Wale Ambao Wamekamilishwa Waovu Lazima Waadhibiwe Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima - Tamko la Nne Je, Wajua? Mungu Amefanya Jambo Kubwa Miongoni Mwa Wanadamu Jinsi ya Kumjua Mungu Duniani Wafaa Kujua Namna Ambavyo Binadamu Wote Wameendelea Hadi Siku ya Leo (Sehemu ya Kwanza) Uchaguzi Kutoka kwa Vifungu Vitatu vya Neno la Mungu juu ya "Maono ya Kazi ya Mungu" (Sehemu ya Pili) Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima - Tamko la Sita Mwanadamu Aliyeanguka Anahitaji Zaidi Wokovu wa Mungu Mwenye Mwili (Sehemu ya Kwanza) Maonyo Matatu Dondoo kutoka kwa Vifungu Vinne vya Neno la Mungu Kuhusu "Fumbo la Kupata Mwili" (Sehemu ya Kwanza) Mnapaswa Kuzingatia Matendo Yenu Wewe U Mwaminifu kwa Nani? Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima - Tamko la Ishirini na Sita Jinsi ya Kuhudumu kwa Upatanifu na Mapenzi ya Mungu Njia ya Huduma ya Kidini lazima Ipigwe Marufuku Unapaswa Kushughulikiaje Wito Wako wa Mustakabali? Mwanadamu Anaweza Kuokolewa tu Katikati ya Usimamizi wa Mungu Uchaguzi Kutoka katika Mafungu Kumi ya Neno la Mungu juu ya "Kuhusu Biblia" (Sehemu ya Kwanza) Uchaguzi Kutoka kwa Vifungu Vitatu vya Neno la Mungu juu ya "Maono ya Kazi ya Mungu" (Sehemu ya Kwanza) Uchaguzi Kutoka katika Mafungu Manne ya Neno la Mungu Juu ya "Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Ushindi" (Sehemu ya Kwanza) Uchaguzi Kutoka katika Mafungu Manne ya Neno la Mungu Juu ya "Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Ushindi" (Sehemu ya Pili) Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima - Tamko la Ishirini na Tisa Wengi Wameitwa, Lakini Wachache Wamechaguliwa Kumpenda Mungu tu Ndiko Kumwamini Mungu Kweli Unapaswa Kutayarisha Matendo Mema ya Kutosha kwa ajili ya Hatima Yako Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima - Tamko La Tano Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima - Tamko la Kumi na Moja Kuhusu Majina na Utambulisho (Sehemu ya Kwanza) Kuhusu Majina na Utambulisho (Sehemu ya Pili) Mafanikio au Kushindwa Kunategemea Njia Ambayo Mwanadamu Hutembea (Sehemu ya Kwanza) Mafanikio au Kushindwa Kunategemea Njia Ambayo Mwanadamu Hutembea (Sehemu ya Pili) Kutanafusi kwa Mwenye Uweza Yule tu Anayepitia Kazi ya Mungu Ndiye Anayemwamini Mungu Kweli Ngurumo Saba Zatoa Sauti - Zikitabiri Kuwa Injili ya Ufalme Itaenea Kote Ulimwenguni Ni Kristo wa Siku za Mwisho Pekee Ndiye Anayeweza Kumpa Mwanadamu Njia ya Uzima wa Milele Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima - Tamko la Ishirini na Mbili Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima - Tamko la Ishirini Uchaguzi Kutoka katika Mafungu Kumi ya Neno la Mungu juu ya “Kazi na Kuingia” (Sehemu ya Kwanza) Uchaguzi Kutoka katika Mafungu Kumi ya Neno la Mungu juu ya “Kazi na Kuingia” (Sehemu ya Pili) Uchaguzi Kutoka katika Mafungu Kumi ya Neno la Mungu juu ya “Kazi na Kuingia” (Sehemu ya Tatu) Uchaguzi Kutoka katika Mafungu Kumi ya Neno la Mungu juu ya “Kazi na Kuingia” (Sehemu ya Nne) Wale Ambao Hawalingani na Kristo Hakika Ni Wapinzani wa Mungu Amri za Enzi Mpya Kutazama Kuonekana kwa Mungu katika Hukumu na Kuadibu Kwake Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima - Tamko la Ishirini na Nne Wanaompenda Mungu Wataishi Milele Katika Mwangaza Wake Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima - Tamko la Kumi Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima - Tamko la Kumi na Tano Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima - Tamko la Ishirini na Tatu Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima - Tamko la Ishirini na Nane Kazi ya Kueneza Injili Ni Kazi ya Kuokoa Binadamu Pia Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima - Tamko la Ishirini na Tano Hakuna Aliye wa Mwili Anayeweza Kuepuka Siku ya Ghadhabu Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima - Tamko la Kumi na Saba Mwanadamu Mpotovu Hawezi Kumwakilisha Mungu Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima - Tamko la Ishirini na Saba Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima - Tamko la Kumi na Tatu Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima - Tamko la Ishirini na Moja Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima - Tamko la Kumi Na Sita Mwokozi Amerudi Tayari Juu ya “Wingu Jeupe” Mungu Ndiye Bwana wa Viumbe Vyote Amri Kumi Za Utawala Ambazo Lazima Zitiiwe Na Watu Waliochaguliwa Na Mungu Katika Enzi Ya Ufalme Utakapouona Mwili wa Kiroho wa Yesu Ndio Utakuwa Wakati Ambao Mungu Ametengeneza Upya Mbingu na Dunia Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima - Tamko La Nane Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima - Tamko La Tisa

0(Ma)tokeo ya Kutafuta