Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

213 Kutafakari Ninaposoma Maneno ya Mungu

1 Kwa miaka mingi ya imani, nilidhani kwamba bidii yangu ilikuwa sawa na upendo kwa Mungu. Kupitia hukumu ya Mungu, hatimaye niliona ukweli wa upotovu wangu mwenyewe. Kujitumia na kumfanyia Mungu kazi kwa bidii ilikuwa ili kupata tu baraka. Nilionekana kutenda vizuri lakini hali yangu ya maisha haikubadilika. Nilimwamini Mungu ili kupata tu baraka, na bila aibu nikadai kwamba nampenda Mungu. Nilifanya mapatano na Mungu, nikampinga Mungu na kujaribu kumdanganya Mungu, lakini sikujua. Bila kujijua kwa kweli, ningemchaje Mungu? Hakuna njia ya tabia yangu potovu kusafishwa bila kupitia hukumu. Petro alipitia mamia ya majaribu na hatimaye akakamilishwa na Mungu. Sio rahisi kwa Mungu kuokoa na kukamilisha wanadamu waliopotoka kabisa.

2 Naangalia maneno ya Mungu na kujichunguza, naona jinsi upotovu wangu ulivyo wa kina. Kwa asili ya kishetani, mara nyingi mimi humpinga Mungu licha ya kutotaka. Mimi mara nyingi hutenda na kufanya wajibu wangu kulingana na falsafa za kishetani. Nina ubinafsi na ni mdanganyifu, bila ubinadamu sahihi. Nafichua tu upotovu bila uhalisi wowote wa ukweli. Asante kwa hukumu ya Mungu kwa kuniokoa kwa wakati unaofaa. Maneno yanayoonyeshwa na Kristo ni ukweli na uzima, na ni ukweli wa maneno ya Mungu unaotakasa upotovu wangu. Hukumu, kuadibu, majaribu, na usafishaji ni ya manufaa kwa wanadamu. Naazimia kufuatilia ukweli ili nikamilishwe na Mungu.

Iliyotangulia:Kuona Upendo wa Mungu Ndani ya Hukumu Yake

Inayofuata:Baada ya Hukumu Hatimaye Ninajijua

Maudhui Yanayohusiana

 • Umuhumi wa Maombi

  1 Maombi ni njia moja ya mwanadamu kishirikiana na Mungu, kuita Roho Wake na kuguswa na Mungu. Kadiri unavyoomba zaidi, ndivyo utakavyoguswa zaidi, ku…

 • Upendo wa Kweli

  1 Namrudia Mungu na kuuona uso Wake upendezao, nikiwa huru kutokana na udhibiti wa kaida za dini. Neno Lake linanijaza na raha na furaha kutoka kwa ne…

 • Nimeuona Upendo wa Mungu

  1 Mwenyezi Mungu, ni Wewe unayenipenda. Katika ulimwengu mchafu Umenichagua mimi! Hivyo nimekuja mbele Yako, naam, nimekuja mbele Yako, nikiishi maish…

 • Njia Yote Pamoja na Wewe

  1 Naelea na kuzurura katika dunia, nikihisi kupotea na mnyonge ndani. Ninapoamshwa na maneno Yako ya upole, naona kuonekana kwa mwanga. Maneno Yako ya…