Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

541 Mungu Atumai Watu Zaidi Wainuke na Kushirikiana na Yeye

Natarajia kwamba ndugu Zangu wote wataweza kuufahamu moyo Wangu, na pia Natarajia kwamba “washirika wapya” wengi zaidi wataweza kuinuka na kufanya kazi na Mungu kutimiza kazi hii pamoja. Naamini kwamba Mungu atatubariki, na pia Naamini kwamba Mungu atanipa wandani wengi zaidi ili Niweze kusafiri mpaka miisho ya dunia na tuwe hata na upendo mwingi zaidi kati yetu. Nimeridhika kabisa kwamba Mungu atapanua ufalme Wake kwa ajili ya juhudi zetu, na Natarajia kwamba kazi yetu ya bidii itafikia viwango visivyo na kifani ili Mungu apate vijana wengi zaidi. Sote tuombee hili zaidi na kumsihi Mungu bila kukoma ili maisha yetu yaendelee mbele Yake, na kwamba tuwe wandani na Mungu. Kusiwe na vizuizi vyovyote miongoni mwetu, na sote tule kiapo hiki mbele ya Mungu: “Kufanya kazi kwa pamoja! Kuwa na moyo wa kuabudu mpaka mwisho! Kutotengana kamwe, kuwa pamoja kila mara!” Ndugu Zangu wekeni uamuzi huu mbele ya Mungu ili mioyo yetu isipotee na hiari yetu isiyumbeyumbe! Ili kutimiza mapenzi ya Mungu. Ipatie kila kitu ulichonacho! Mungu atatubariki kabisa!

Umetoholewa kutoka katika “Njia … (5)” katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia:Toa Nafsi Yako Yote kwa Kuyafanya Mapenzi ya Mungu

Inayofuata:Kuteseka kwa Ajili ya Kutenda Ukweli Hupata Sifa za Mungu

Maudhui Yanayohusiana