Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

Shetani Hawezi Kubadili Chochote Chini ya Mamlaka ya Mungu

I

Ni kwa miaka ngapi, maelfu ya miaka,

Shetani amekuwa akimpotosha mwanadamu, akifanya mabaya mengi sana.

Vizazi, kimoja baada ya kingine vimedanganywa naye.

Oh, ni uhalifu kiasi kipi, uhalifu wa kuogofya

ambao Shetani amefanya katika dunia hii yote.

Alimchangamsha mwanadamu kupigana na Mungu, akamnyanyasa, na kumdanganya mwanadamu,

akatafuta kuuharibu mpango wa usimamizi wa Mungu.

Ingawa Shetani anatembea kati ya vitu vilivyoumbwa na Mungu,

hawezi, hata kidogo, kubadilisha watu au vitu.

Ingawa Shetani anatembea kati ya vitu vilivyoumbwa na Mungu,

hawezi kubadilisha jambo hata moja.

Hakuna kinachobadilika chini ya amri za Mungu.

Hawezi kubadilisha jambo hata moja.

Hakuna kinachobadilika chini ya amri za Mungu.

II

Chini ya mamlaka ya Mungu, vitu vyote bado vinakaa chini ya sheria Zake.

Viumbe vyote vilivyo hai vinatii sheria zilizowekwa na Mungu.

Ikilinganishwa na mamlaka kuu ya Mungu, asili ovu ya Shetani ni mbaya,

yenye kuenea na mbaya, ya kudharauliwa, ndogo sana na iliyo hatarini zaidi.

Ingawa Shetani anatembea kati ya vitu vilivyoumbwa na Mungu,

hawezi, hata kidogo, kubadilisha watu au vitu.

Ingawa Shetani anatembea kati ya vitu vilivyoumbwa na Mungu,

hawezi kubadilisha jambo hata moja.

Hakuna kinachobadilika chini ya amri za Mungu.

Hawezi kubadilisha jambo hata moja.

Hakuna kinachobadilika chini ya amri za Mungu.

kutoka kwa "Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I" katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia:Ulimwengu wote ni Mpya Kabisa katika Utukufu wa Mungu

Inayofuata:Mungu Amemleta Mwanadamu Katika Enzi Mpya

Maudhui Yanayohusiana