Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

65. Kutafuta Wandani

I

Umefanya kazi katika bustani kwa muda mrefu na Umepanda upendo Wako ndani sana.

Umelipa kila gharama, Ukitamani kuwapata watu ambao wana moyo mmoja na Wewe.

Umetafuta kwa muda mrefu—ni nani anayeweza kuelewa dhiki Yako?

Umewekeza upendo mwingi sana wa kweli, lakini ni vigumu Kwako kupata faraja katika maumivu Yako.

Siku Yako inakuja, na sote tunajitahidi kwa juhudi kubwa.

Tunataka kukupenda na kuwa wandani Wako, na kutembea pamoja na Wawe kupitia upepo na mvua.

II

Bwana ataondoka bustanini, na watumishi hawawezi kuvumilia hili, mioyo yao imevunjika.

Deni kama hili ni gumu kulipa, hata kulipa kiasi kidogo kabisa.

Kila mtu amejawa na wasiwasi na moyo Wako bado haujafarijika.

Ninaogopa tu kwamba sikupendi sana kiasi cha kutosha, na kamwe siwezi kuthubutu kuwa mzembe.

Moyo wangu unatamani kukupenda na nitaiga roho ya Petro.

Nitatekeleza mapenzi Yako maisha yangu yote na kukufuata kikamilifu.

Iliyotangulia:Milele Kumsifu na Kumwimbia Mungu

Inayofuata:Mwenyezi Mungu Ametushinda

Maudhui Yanayohusiana

 • Ni kwa Njia ya Majaribio ya Kuumiza tu Ndipo Unaweza Kuyajua Uzuri wa Mungu

  I Kufuatilia kuridhika kwa Mungu ni kutenda maneno ya Mungu kwa upendo kwa Mungu. Bila kujali wakati, kama wengine hawana nguvu, ndani, moyo wako bado…

 • Umuhumi wa Maombi

  I Maombi ni njia moja ya mwanadamu kishirikiana na Mungu, kuita Roho Wake na kuguswa na Mungu. Kadiri unavyoomba zaidi, ndivyo utakavyoguswa zaidi, ku…

 • Waovu Hakika Wataadhibiwa

  Jichunguzeni ili kuona kama mnatenda uhaki katika kila jambo mnalotenda, na iwapo matendo yenu yote yanachunguzwa na Mungu: Hii ndiyo kanuni ambayo k…

 • Je, Utatu Mtakatifu Upo?

  Baada ya ukweli wa Yesu aliyepata mwili kutokea, mwanadamu aliamini hili: Si Baba pekee aliye mbinguni, bali pia Mwana, na hata Roho Mtakatifu. Hii n…