Imani na Maisha

Makala 11

Maneno ya Mungu Huniongoza Kujifunza Jinsi ya Kufundisha Watoto Wangu (II)

Sasa ninaelewa kuwa ni maneno ya Mungu pekee yanayoweza kutubadilisha na kutufanya tuishi kwa kudhihirisha mfano wa mtu halisi. Kuanzia sasa kwendelea, nitajifunza kulitukuza neno la Mungu na kuwashawishi watoto kumwamini na kumfuata Mungu. Utukufu wote ni wa Mwenyezi Mungu!

Maneno ya Mungu Huniongoza Kujifunza Jinsi ya Kuwafundisha Wanangu (I)

Baada ya kuyaelewa mapenzi ya Mungu, nilimwomba Yeye: “Mungu, ninaelewa kwamba mustakabali wa mwanangu uko mikononi Mwako. Sitawaelimisha wanangu tena kwa njia yangu mwenyewe kama ninavyotaka, na niko tayari kabisa kukuaminia Wewe wanangu, kukutegemea Wewe na kuutii ustadi na mipango Yako.”