Shiriki:

Filamu ya Kikristo ya Muzikiinakuja hivi karibuni

Mungu asema: "Ni viumbe wangapi wanaoishi na kuzaana katika ulimwengu mpana, wakifuata sheria ya maisha tena na tena, wakifuata sheria isiyobadilika. … Atawafanya wanadamu wafahamu uwepo Wake, waamini katika ukuu Wake, watazame matendo Yake, na warudi katika ufalme Wake."

Utambulisho

Kote katika ulimwengu mkubwa mno, sayari zote ya mbingu husogea kwa usahihi katika mizunguko yazo zenyewe. Chini ya mbingu, milima, mito, na maziwa vyote vina mipaka yavyo, na viumbe vyote huishi na kuzaana wakati wa misimu yote minne kulingana na sheria za maisha…. Hili lote limepangwa vizuri sana—je, kuna Mwenye Uwezo Mmoja anayepanga na kutawala yote haya? Tangu tuje katika ulimwengu huu tukilia tumeanza kutekeleza majukumu tofauti katika maisha. Sisi husogea kutoka kuzaliwa mpaka uzee mpaka kuugua hadi kifo, sisi husogea kati ya furaha na huzuni…. Wanadamu kwa kweli hutoka wapi, na kwa kweli tutaenda wapi? Ni nani huitawala jaala yetu? Kutoka nyakati za kale hadi siku za kisasa, mataifa makubwa yameibuka, nasaba za wafalme zimekuja na kwenda, na nchi na watu wamesitawi na kuangamia katika mikondo ya historia…. Kama tu sheria za asili, sheria za maendeleo ya wanadamu zina mafumbo yasiyo na kikomo. Ungependa kujua majibu kuyahusu? Filamu iitwayo Yule Ambaye Hushikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu itakuongoza kufikia kiini cha jambo hili, ili kufichua mafumbo yote haya!

Trela

Ushuhuda wa Nguvu ya Mungu

Shiriki

Kuuchunguza Ulimwengu

Shiriki

Kuchunguza Mafumbo ya Maisha

Shiriki

Mawazo Juu ya Maafa

Shiriki

Kuibuka na Kuanguka kwa Mataifa

Shiriki

Kutoa Sheria

Shiriki

Mambo Muhimu 1

Je, kweli wanadamu wana uamuzi juu ya hatima yao?

1
2
3
4

Mambo Muhimu 2

Ni Nani Wanadamu na Vitu Vyote Humtegemea kwa Kusalia Kwao?

Mambo Muhimu 3

Ni Nani Ameyaongoza Maendeleo Ya Historia Ya Wanadamu?

Picha

更多视频

Trela

Biringiza
Biringiza
Biringiza