
Ushuhuda wa Washindi
Juzuu ya ITangu wakati ambapo Mwenyezi Mungu alikuza kazi Yake ya hukumu ya siku za mwisho huko bara China, ingawa wateule wa Mungu wamekumbwa na mateso makali ya kikatili kutoka kwa serikali ya China, wamekuwa thabiti na waaminifu bila kusita chini ya mwongozo wa maneno ya Mungu, wakitoa ushuhuda mkuu wa ushindi dhidi ya Shetani. Ukweli unaonyesha kabisa kwamba Mwenyezi Mungu hakika Ametengeneza kikundi cha washindi katika Enzi ya Ufalme, na hivyo kuufanikisha mpango wa Mungu wa usimamizi wa miaka elfu sita.
Matukio na Ushuhuda
1Siku Baada Ya Nyingine Katika Jela Ya Chama Cha Kikomunisti
2Nguvu ya Maisha Ambayo Haiwezi Kuzimwa Kamwe
4Kutoka kwa Mateso Kunatoka Harufu Nzuri ya Upendo
5Mateso na Taabu Zilinifanya Nimpende Mungu Hata Zaidi
6Baada ya Kuvumilia Shida, Upendo Wangu kwa Mungu Ni Thabiti Hata Zaidi
8Mateso na Majaribio Ni Baraka za Mungu
10Wimbo wa Maisha Katikati ya Uharibifu
11Maneno ya Mungu Hufanya Miujiza ya Maisha
12Mateso katika Chumba Cha Kuhojiwa
13Kutumikia Wakati wa Upeo wa Ujana Gerezani
14Mateso Makali ya CCP Yanauimarisha tu Upendo Wangu kwa Mungu
15Upendo wa Mungu Umeuimarisha Moyo Wangu
16Nikiongozwa na Maneno ya Mungu, Nilishinda Ukandamizaji wa Nguvu za Giza
17Mungu Ni Nguvu Yangu Katika Maisha
18Kushinda Kupitia Majaribu ya Shetani
19Nuru Hafifu ya Maisha katika Pango la Giza la Wakatili
20Mateso ya kikatili Yaliimarisha Imani Yangu
21Nuru ya Mungu Huniongoza Kupitia Dhiki
22Neno La Mungu Ni Nguvu Yangu Katika Maisha
23Mungu Anielekeza Kuushinda Ukatili wa Pepo
24Kuinuka Kupitia Ukandamizaji wa Giza
25Kuzinduka Katikati ya Mateso na Dhiki
28Uzoefu wa Kina Zaidi wa Upendo wa Mungu Kupitia Kuingia Katika Pango la Pepo
29Naja Kutofautisha Waziwazi kati ya Upendo na Chuki kwa Kupitia Uchungu wa Mateso