Wimbo wa Kusifu | Upendo na Kiini cha Mungu ni Vikarimu (Music Video)

25/02/2020

Mungu anatoa kilicho bora zaidi, Anatoa upande Wake ulio mzuri.

Vitu vizuri, vitu vizuri zaidi, Anatoa.

Bila kufichua ama kuonyesha kuteseka Kwake.

Mungu, Anavumilia, Akingoja kwa kimya.

Sio baridi ama Aliyeganda, sio dalili ya unyonge.

Kiini cha Mungu na upendo Wake ni mkarimu kila wakati.

Mungu anatoa kilicho bora zaidi, Anatoa upande Wake ulio mzuri.

Vitu vizuri, vitu vizuri zaidi, Anatoa.

Kwa ajili ya binadamu wote, Anateseka.

Akivumilia kwa kimya, Anatoa kwa kimya.

Mungu anatoa kilicho bora zaidi.

Bila kufichua ama kuonyesha kuteseka Kwake.

Mungu, Anavumilia, Akingoja kwa kimya.

Hili ni onyesho la kiini Chake na tabia,

la kili Alicho kweli: Muumba wa vitu vyote.

Mungu anatoa kilicho bora zaidi, Anatoa upande Wake ulio mzuri.

Vitu vizuri, vitu vizuri zaidi, Anatoa.

Kwa binadamu wote, Ateseka; Anateseka, Akivumilia kwa kimya.

Anatoa kwa kimya, Anatoa Vyake vilivyo bora zaidi.

Mungu anatoa kilicho bora zaidi, Mungu anatoa kilicho bora zaidi.

Mungu anatoa kilicho bora zaidi, Anatoa upande Wake ulio mzuri.

Vitu vizuri, vitu vizuri zaidi, Anatoa.

Kwa ajili ya binadamu wote, Anateseka.

Akivumilia kwa kimya, Anatoa kwa kimya.

Akivumilia kwa kimya, Anatoa kwa kimya.

Mungu anatoa kilicho bora zaidi, Mungu anatoa kilicho bora zaidi.

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp