Wimbo wa Dini 2020 | Mungu Ateseka Sana Kumwokoa Mwanadamu

Wimbo wa Dini 2020 | Mungu Ateseka Sana Kumwokoa Mwanadamu

232 |05/08/2020

Mungu zamani alikuja kwenye ulimwengu wa binadamu

na Huvumilia mateso hayo hayo kama mwanadamu.

Ameishi na mwanadamu kwa miaka mingi na hakuna aliyegundua kuwepo Kwake.

Mungu amekuwa Akivumilia kimya taabu za ulimwengu wa binadamu

huku Akifanya kazi Aliyoleta pamoja Naye.

Kwa kuwa mapenzi ya Mungu Baba na mahitaji ya wanadamu,

Amevumilia, Akipitia maumivu ambayo kamwe mwanadamu hajawahi kupitia.

Mbele ya mwanadamu, Amewahudumia kimya kimya

na kujinyenyekeza Mwenyewe,

kwa ajili ya mapenzi ya Mungu Baba na mahitaji ya wanadamu.

Kwa kuwa kazi ya Mungu inamtaka Mungu kutenda na kuzungumza Yeye binafsi,

na kwa kuwa hakuna namna ambayo mwanadamu anaweza kusaidia,

Mungu Ameyavumilia maumivu makali ya kuja duniani kufanya kazi Yeye Mwenyewe.

Mwanadamu hawezi kushikilia nafasi ya kazi ya Mungu.

Kwa hiyo Mungu Alijihatarisha

mara elfu kadhaa kuliko ilivyokuwa katika wakati wa Enzi ya Neema

na kuja chini mahali ambapo joka kuu jekundu linaishi

ili kufanya kazi Yake,

kuweka mawazo Yake yote na uangalizi katika kuokoa kundi hili la watu maskini,

kulikomboa kundi hili la watu lililogeuka na kuwa rundo la samadi.

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Onyesha zaidi
Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Wasiliana Nasi
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp

Shiriki

Ghairi