Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Best Swahili Christian Music Video 2018 "Upendo kwa Mungu" | The Love of God Never Leaves Us

Mfululizo wa Video za Muziki   1707  

Utambulisho

Best Swahili Christian Music Video 2018 "Upendo kwa Mungu" | The Love of God Never Leaves Us


I

Ee Bwana,

Nimefurahia nyingi ya neema Yako.

Kwa nini mimi daima huhisi tupu ndani?

Je, sijapata ukweli na uzima?


II

Kusoma maneno haya kunaweza kuyajibu maswali yako.

"Kristo wa siku za mwisho huleta uzima,

na huleta kudumu kwa njia ya kweli na ya milele.

Ukweli huu ni njia ambayo binadamu atapata uzima,

na njia pekee ambayo

mtu atajua Mungu na kuidhinishwa na Mungu.

Kama hutatafuta njia ya maisha inayotolewa na

Kristo wa siku za mwisho,

basi kamwe hutapata kibali cha Yesu,

na kamwe hutahitimu kuingia lango la ufalme wa mbinguni,

kwa ajili nyote ni makaragosi

na wafungwa wa historia" (Kitabu Chafunguliwa na Mwanakondoo).

Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho, ameonyesha ukweli wote

kutakasa, kuwaokoa wanadamu,

kumletea mwanadamu njia ya uzima wa milele.

Kwa kukubali na kutii kazi ya Mungu, kutenda na kupitia maneno Yake,

mwanadamu anaweza kuelewa ukweli na kupata uzima.


III

Mungu alinichagua kutoka katika bahari kubwa ya watu, na kupanga kwa njia ya kimiujiza kwamba nije upande Kwake.

Maneno Yake yenye fadhili yameupa moyo wangu upendo. Nikiwa na ukweli, naishi katika furaha isiyo na mwisho.

Sauti hiyo ya kawaida, sura hiyo nzuri havijabadilika tangu mwanzo.

Katika familia ya Mungu ninaonja utamu wa upendo Wake. Ninaegemea karibu na Yeye na sitaki kuondoka tena.

Bila Mungu, siku zilikuwa ngumu kustahimili.

Niliyumbayumba pamoja na kila hatua iliyojaa machungu.

Ni kwa ulinzi wa siri wa Mungu tu kwamba nilifikia leo.

Na sasa nikiwa na maneno ya Mungu upande wangu mimi nimeridhika.


IV

Muda unapopita yanakuja mabadiliko makubwa. Lakini hakuna chochote kitakachofuta moyoni mwangu upendo wangu kwa Mungu.

Ahadi ya maelfu ya miaka, kiapo kisichobadilika.

Baada ya mizunguko mingi ya maisha na kifo ninarudi upande wa Mungu.

Amepanda maisha moyoni mwangu. Maneno Yake yananilisha na kuninyunyizia maji.

Kupitia mateso na taabu maisha yangu yanazidi kuwa yenye nguvu.

Barabara mbaya na kushindwa ni misingi ya mafunzo kwangu.

Mungu hajawahi kuondoka upande wangu.

Kwa kimya, anajitolea kwa ajili ya binadamu kamwe bila neno la malalamiko.

Nitatupilia mbali tabia yangu potovu na nitatakaswa.

Kisha ninaweza kuandamana na Mungu milele.

Mungu hajawahi kuondoka upande wangu.

Kwa kimya, anajitolea kwa ajili ya binadamu kamwe bila neno la malalamiko.

Nitatupilia mbali tabia yangu potovu na nitatakaswa.

Kisha ninaweza kuandamana na Mungu milele.


kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Pakua Programu Bila Malipo

Video za Ajabu Zakuongoza Kuielewa Kazi ya Mungu

Pakua Programu Bila Malipo

Video za Ajabu Zakuongoza Kuielewa Kazi ya Mungu