Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Dondoo ya Filamu ya Bwana Wangu Ni Nani - Kanisa la Ukiwa Linatiwa Nguvu

Dondoo za Video   8  

Utambulisho

Baada ya ndugu katika pahali pa mkutano pa kanisa la Mzee wa Kanisa Liu Zhizhong kutupilia mbali pingu za Biblia, walisoma mtandaoni kuhusu kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho. Kwa kusoma maneno ya Mwenyezi Mungu, walistawishwa kwa maji hai ya maisha, na waliweza kurudisha imani na upendo wao wa asili na kuthibitisha ndani ya mioyo yao kwamba Mwenyezi Mungu ndiye kuja kwa mara ya pili kwa Bwana Yesu. Wakati Mzee wa kanisa Liu Zhizhong aliona hili likifanyika, je, aliweza kuweka chini Biblia na kutafuta kuchunguza kazi ya Mungu katika siku za mwisho? Tafadhali tazama video hii fupi!