Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

680 Tembea Hatua ya Mwisho ya Njia Vizuri

Katika siku za nyuma, mlifikiri kuwa kumwamini Mungu kulikuwa rahisi sana, na hiyo ilikuwa kwa sababu Mungu hakuwa makini na wewe. Na sasa je? Je, mnafikiri kuwa kumwamini Mungu ni rahisi? Je, bado mnahisi kuwa kuamini katika Mungu ni furaha na bila mawazo kama watoto wanaocheza mitaani? Ni kweli kwamba wewe ni kondoo, hata hivyo, lazima uwe na uwezo wa kutembea njia ambayo unapaswa kutembea ili kulipa neema ya Mungu, na kumpata kabisa Mungu unayeamini. Msijichezee wenyewe—msijipumbaze! Ikiwa unaweza kufaulu katika hatua hii ya njia, utakuwa na uwezo wa kuona hali isiyokuwa ya kawaida, ya ajabu ya kazi Yangu ya injili ikienea katika ulimwengu wote, na utakuwa na bahati nzuri ya kuwa mwandani Wangu wa karibu, na kutekeleza sehemu yako katika kupanua Kazi Yangu katika ulimwengu wote. Wakati huo, utafurahia sana kutembea kwenye njia ambayo unapaswa kutembea. Siku zijazo zitakuwa na uchangamfu usio na mwisho, lakini jambo la msingi sasa ni kutembea hatua ya mwisho ya njia vizuri. Lazima utafute, na ujiandae jinsi ya kufanya hili. Hili ndilo unalopaswa kufanya hivi sasa—hili ni suala la dharura sasa!

Umetoholewa kutoka katika “Jinsi Unavyopaswa Kuitembea Hatua ya Mwisho ya Njia” katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia:Anachotaka Mungu Katika Majaribio Ni Moyo wa Kweli wa Mwanadamu

Inayofuata:Neno la Sasa la Mungu tu Ndilo Linaweza Kumkamilisha Mwanadamu

Maudhui Yanayohusiana