Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

102. Ni Nani Amemjua Mungu Aliye katika Mwili

I

Kwa kuwa wewe ni raia wa kaya ya Mungu,

kwa kuwa u mwaminifu katika ufalme wa Mungu,

basi kila kitu unachokifanya ni lazima kifikie viwango kutoka kwa Mungu,

kifikie viwango vinavyotakiwa na Mungu.

Mungu anakutaka usiwe wingu ambalo huenda pepe,

lakini uwe theluji ambayo hung'aa weupe,

ikimiliki asili yake na aidha thamani yake.

Ni kwa sababu Mungu alikuja kutoka nchi takatifu,

sio kama yungiyungi, ambalo lina jina tu, lina jina tu lakini halina kiini.

Kwa sababu lilitoka, lilitoka kwa matope ya giza, halitoki kwa nchi takatifu.

II

Mbingu mpya itakapoishambulia dunia kwa ghafla,

na wakati dunia mpya inaenea juu ya mbingu,

ndio wakati pia ambapo Mungu ataanza kufanya kazi Yake kati ya wanadamu.

Kuna mtu yeyote kati ya wanadamu anayemjua Mungu?

Ni nani ameona wakati wa kuwasili kwa Mungu?

Ni nani ameona kwamba Mungu hana jina tu,

lakini aidha anamiliki kiini?

Mungu hupangusa mawingu meupe kwa mkono Wake, akiziangalia mbingu kwa makini.

Hakuna kitu katika anga kisichopangwa kwa mkono, kwa mkono wa Mungu.

Kila kitu kimepangwa kwa mkono wa Mungu.

Hakuna yeyote katika anga ambaye hafanyi jitihada yake ndogo

hadi ukamilisho wa shughuli kubwa ya Mungu.

Mungu hawaulizi mengi kamwe watu duniani,

kwa sababu Mungu daima amekuwa Mungu wa utendaji,

kwa sababu Mungu aliwaumba wanadamu, na anawajua wanadamu vizuri,

Anawajua wanadamu vizuri kabisa, Yeye ndiye mwenye Uweza, Yeye ndiye mwenye Uweza.

kutoka kwa "Tamko la Tisa" la Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia:Fuata Njia ya Mungu katika Vitu Vyote Vikubwa na Vidogo

Inayofuata:Ni Wakati Tu Ambapo Mungu Anakuwa Mwili Ndipo Mwanadamu Anaweza Kuwa Mwandani Wake

Maudhui Yanayohusiana