Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

Je, Utampa Mungu Upendo Ulio Moyoni Mwako?

Kama unamwamini Mungu lakini huna kusudi,

basi maisha yako yatakuwa bure.

Na wakati utakapofika wa maisha kufika mwisho,

utakuwa tu na anga samawati na nchi yenye vumbi ya kutegemea.

Je, uko tayari kumpa Yeye upendo wako?

Je, uko tayari kuufanya msingi wa kuwepo kwako, kuwepo kwako?

Nimeona maishani mwangu, kadri ninavyompa Mungu upendo wangu,

ndivyo ninavyohisi furaha ya maisha zaidi na nguvu isiyo na mipaka.

Nitamfariji Mungu ninayempenda na moyo wangu

kufanya Roho Yake mbinguni ipate faraja.

Moyo ni muhimu lakini upendo ni wa thamani zaidi.

Nitampa Mungu upendo huu wa thamani,

ili Aweze kutimizwa na kitu kizuri zaidi nilicho nacho.

Mungu anaona upendo wa mwanadamu ukiwa wa thamani na Yeye anawabariki wale wanaompenda Yeye.

Anawapa mengi hata zaidi kwa sababu upendo wa mwanadamu ni mgumu sana kuupata.

Kuishi maisha yanayolingana na kusudi la Mungu

ndicho kilicho bora zaidi maishani, bora zaidi maishani.

Mbona utafute shida?

Ndani yangu, nimeweka ahadi kwa Mungu nimpe Yeye moyo wangu.

Kwa Mungu, kwa hiari natoa mwili wangu na akili 

na bado siwezi kumpenda Mungu kiasi cha kutosha, na bado siwezi kumpenda Mungu kiasi cha kutosha.

Je, uko tayari kumpa Yeye upendo wako?

Je, uko tayari kuufanya msingi wa kuwepo kwako, kuwepo kwako?

Nimeona maishani mwangu, kadri ninavyompa Mungu upendo wangu,

ndivyo ninavyohisi furaha ya maisha zaidi na nguvu isiyo na mipaka.

Iliyotangulia:Mwenyezi Mungu Ametushinda

Inayofuata:Ni Bahati Yetu Nzuri Kumhudumia Mungu

Maudhui Yanayohusiana