Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Nyimbo za Maneno ya Mungu

Nyimbo za Maneno ya Mungu

Aina za Nyimbo

wimbo wa ibada, nyimbo za injili, Nyimbo, Kwaya, Sifa na Ibada
Sifa za Ufalme
Nyimbo, Tenzi, nyimbo za injili
Mpya Zaidi

Albamu nyingine

Kumjua Mungu, Nyimbo, neno la Mungu
Kumjua Mungu
Kumtolea Mungu Ushuhuda, Nyimbo, Tenzi
Kumtolea Mungu Ushuhuda
Kumsifu Mungu, Bwana asifiwe, Nyimbo
Kumsifu Mungu
Nyimbo, nyimbo za injili, Ushuhuda wa Injili
Ushuhuda wa Injili
Matukio ya Maisha, Nyimbo, muziki kwa maisha
Matukio ya Maisha

Aina

Adhimu na Zenye Taadhima, Nyimbo, nyimbo za injili
Adhimu na Zenye Taadhima
wimbo wa ibada, Zenye Kuonyesha Hisia Kali, Nyimbo
Zenye Kuonyesha Hisia Kali
Zenye Kusisimka, Nyimbo, muziki kwa maisha
Zenye Kusisimka
Zenye moyo mchangamfu, Nyimbo, Tenzi
Zenye moyo mchangamfu
Zenye Kuwa na Shauku, wimbo wa ibada, Nyimbo
Zenye Kuwa na Shauku
Nyimbo, muziki kwa maisha, Zenye Kupumzisha
Zenye Kupumzisha

  I

  Wakati wa kupata mwili kwa Mungu duniani, Anafanya kazi Yake miongoni mwa wanadamu. Kazi hii yote ina kusudi moja—kumshinda ibilisi Shetani. Atamshinda Shetani kumshinda mwanadamu, pia kupitia kukufanya mkamilifu. Unapokuwa na ushuhuda mkubwa sana, hii pia itakuwa ishara ya kushindwa kwa Shetani. Mungu anapata mwili kumshinda Shetani na kuwaokoa wanadamu wote. Ili Shetani aweze kushindwa, mwanadamu kwanza anashindwa, kisha anakamilishwa.

  II

  Lakini kiini, huku akimshinda Shetani, Mungu anamwokoa mwanadamu toka mateso. Haijalishi kama hii kazi inafanyika Uchina au kote ulimwenguni, yote ni kwa ajili ya kumshinda Shetani na kumwokoa mwanadamu, aweze kuingia katika mapumziko. yote ni kwa ajili ya kumshinda Shetani Mungu anapata mwili kumshinda Shetani kuokoa wanadamu wote. Kupata mwili kwa Mungu katika mwili wa kawaida ni hasa kwa ajili ya kumshinda Shetani. Kazi ya Mungu huyu wa mwili ni kuwaokoa wanaompenda Mungu chini ya mbingu. Ni kwa sababu ya kuwashinda binadamu wote, na pia ni kwa sababu ya kumshinda Shetani.

  III

  Kiini cha kazi yote ya Mungu ni kumshinda Shetani kwa ajili ya wokovu wa mwanadamu. Mungu anapata mwili kumshinda Shetani na kuwaokoa wanadamu wote. Mungu anapata mwili kumshinda Shetani na kuwaokoa wanadamu wote, kuwaokoa wanadamu wote. Anawaokoa wanadamu wote. kuwaokoa wanadamu wote. Anawaokoa wanadamu wote.


  kutoka katika Neno Laonekana katika Mwili

0(Ma)tokeo ya Kutafuta