Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

VITABU

 • Neno Laonekana katika Mwili

  Hii ilikuwa mara ya kwanza tangu uumbaji ambayo Mungu alikuwa amehutubia wanadamu wote. Matamshi haya yalikuwa maandiko ya kwanza yaliyoonyeshwa na Mungu akiwa miongoni mwa wanadamu ambayo kwayo Aliwafichua watu, Akawaongoza, Akawahukumu, na kuzungumza nao kwa dhati na kwa hiyo, pia, yalikuwa matamshi ya kwanza ambayo kwayo Mungu aliwaruhusu watu kuzijua nyayo Zake, mahali ambamo Yeye huishi, tabia ya Mungu, kile Mungu anacho na alicho, fikira za Mungu, na masikitiko Yake kwa wanadamu. Inaweza kusemwa kwamba haya yalikuwa matamshi ya kwanza ambayo Mungu alikuwa amenena kwa wanadamu kutoka mbingu ya tatu tangu uumbaji, na mara ya kwanza ambayo Mungu alikuwa ametumia utambulisho Wake wa asili kuonekana na kuonyesha sauti Yake kwa wanadamu kati ya maneno.

  Soma Zaidi
 • Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho (Chaguzi)

  Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho, anaeleza maneno Yake ili kuwahukumu na kuwatakasa wanadamu na kuwaongoza katika enzi mpya, Enzi ya Ufalme. Wale wote wanaojisalimisha chini ya mamlaka Yake watafurahia ukweli wa juu zaidi na kupokea baraka nyingi zaidi. Kwa kweli wataishi kwenye mwanga, na wataupata ukweli, njia, na uzima.

  Soma Zaidi
 • Kitabu Chafunguliwa na Mwanakondoo

  Kristo wa siku za mwisho, Mwenyezi Mungu, ameonyesha maneno, akitoa ushahidi kwamba Mwokozi alirudi zamani juu ya "wingu jeupe" na amefanya kazi ya hukumu akianzia na nyumba ya Mungu ili kuwahukumu, kuwatakasa, na kuwaokoa wanadamu. Mwenyezi Mungu ni Mwanakondoo aliyetabiriwa na Kitabu cha Ufunuo ambaye anafungua kitabu na mihuri saba.

  Soma Zaidi
 • Hukumu Huanza na Nyumba ya Mungu

  Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho, ameonyesha maneno kuwahukumu, kuwatakasa na kuwaokoa wanadamu, na Amefanya kazi ya hukumu akianzia na nyumba ya Mungu. Mwenyezi Mungu Ameonekana katika Mashariki ya ulimwengu akiwa na haki, uadhama, ghadhabu, na kuadibu, na Amejifichua Mwenyewe kwa majeshi mengi ya binadamu! Hili linatimiza maneno katika 1 Petro 4:17, "Kwa maana muda umekuja ambao lazima hukumu ianze katika nyumba ya Mungu."

  Soma Zaidi
 • Maneno Mashuhuri Kutoka kwa Mwenyezi Mungu, Kristo wa Siku za Mwisho

  Maneno bora zaidi yaliyoteuliwa kutoka katika maneno yaliyoonyeshwa na Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho, yamekusanywa katika kitabu hiki. Maneno haya ni mwongozo kwa wale wanaotamani sana kuonekana kwa Mungu kutafuta nyayo Zake. Yanaweza kukuongoza kupata mlango wa kuingia katika ufalme wa mbinguni.

  Soma Zaidi
 • Maneno Bora zaidi ya Mungu Kuhusu Injili ya Ufalme (Chaguzi)

  Chaguzi kutoka kwa maneno bora zaidi ya Mwenyezi Mungu yaliyoshirikishwa katika kitabu hiki na zinazoshuhudia kwa wale wote wanaotumaini na kuomba kwa kuonekana kwa Mungu kwa kurudi kwa Mwokozi juu ya mawingu meupe zamani sana, na kushuhudia kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu katika Enzi ya Ufalme. Hili huwasababisha wanadamu kutambua kwamba Mwenyezi Mungu na Bwana Yesu ni Mungu mmoja—Yeye ni Mwanakondoo aliyetabiriwa katika Kitabu cha Ufunuo ambaye amekifungua kitabu na mihuri saba.

  Soma Zaidi
 • Kondoo wa Mungu Huisikia Sauti ya Mungu (Mambo Muhimu ya Muumini Mpya)

  Vilivyokusanywa katika kitabu hiki ni ukweli wenye uwezo wa kuona mbali wa hatua tatu za kazi ya Mungu, majina Yake, fumbo la kupata Kwake mwili, na jinsi ya kutofautisha kati ya njia ya kweli na njia za uongo, visomwe na kuzatitiwa na wale ambao wameikubali hivi karibuni kazi ya Mungu katika siku za mwisho, na ili waweze kuweka misingi haraka iwezekanavyo kwa ukweli wenye uwezo wa kuona mbali wa kazi ya Mungu.

  Soma Zaidi
 • Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

  Tunapoimba nyimbo mpya katika kumsifu Mungu, tuna uwezo wa kupata uzoefu kwamba sisi ni kundi la watu wanaomfuata Mwanakondoo na kuimba nyimbo mpya zilizotabiriwa katika Kitabu cha Ufunuo. Kwa kweli tunapata uzoefu kwamba kwa hakika tumebarikiwa sana kwa kufikishwa katika kiti cha Mungu cha enzi na kuhudhuria karamu ya harusi ya Mwanakondoo.

  Soma Zaidi
 • Mashahidi wa Kristo wa Siku za Mwisho

  Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho, ameonyesha namna nyingi za ukweli, amefunua kila ukweli na siri katika Biblia, na kuwafichulia wanadamu maelezo ya ndani ya hatua tatu za kazi ya Mungu, siri ya Mungu kupata mwili na kazi ya Mungu ya hukumu katika siku za mwisho, n.k. Hili linathibitisha kwamba Mwenyezi Mungu ni kurudi kwa Bwana Yesu na kwamba Yeye ni kuonekana kwa Mungu katika siku za mwisho.

  Soma Zaidi
 • Ushuhuda wa Washindi

  Kwa kuwa Mwenyezi Mungu ameanzisha kazi yake ya hukumu ya siku za siku mwisho nchini China, ingawa watu walioteuliwa wa Mungu wamepitia mateso makali, ya ukatili yakifanywa na serikali ya Kichina, wamekuwa watu wasioshindika na waaminifu kwa udhabiti chini ya mwongozo wa maneno ya Mungu, wakiunda shahidi mkubwa wa ushindi juu ya Shetani. Ukweli unaonyeshwa kikamilifu kwamba Mwenyezi Mungu kwa hakika ametengeneza kikundi cha washindi katika Enzi ya Ufalme, akifanikisha mpango wa usimamizi wa Mungu wa miaka elfu sita.

  Soma Zaidi
 • Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo

  Hukumu mbele ya enzi kubwa nyeupe ya siku za mwisho imeanza. Kristo wa Mwisho—Mwenyezi Mungu—ameeleza ukweli ili kufanya kazi yake ya kuwahukumu na kuwatakasa wanadamu. Kupitia ufunuo na hukumu ya neno la Mungu, polepole watu wateule wa Mungu wanatambua upotoshwaji wao na Shetani na wanapata njia ya kuutoroka ushawishi wa Shetani, wakisaidia maisha yao kupata mabadiliko ya asteaste. Tajriba hizi halisi zinathibitisha kwamba kazi ya hukumu inayofanywa na Mwenyezi Mungu ni kazi ya kumwokoa mwanadamu kikamilifu.

  Soma Zaidi
 • Jinsi Nilivyomgeukia Mwenyezi Mungu Tena

  Kila mmoja ambaye humwamini Mungu na kumgeukia Yeye tena hupitia safari isiyo ya kawaida ya moyo, na uzoefu wa kila mtu ni tofauti. Kitabu hiki ni mkusanyiko wa uzoefu wa kweli wa wateule wa Mungu kumgeukia Mwenyezi Mungu tena. Uzoefu huu unasimulia wateule wa Mungu kulegeza mawazo yao na vizuizi vya dini chini ya mwongozo wa maneno ya Mwenyezi Mungu, na kujiweka huru dhidi ya nguvu zinazompinga Kristo za dunia ya dini na vilevile vurugu na hali ya kushurutisha ya nguvu za shetani za CCP. Pia unasimulia safari zao za kuguza hisi za kupata uhakika kamili wa njia ya kweli na kugeukia tena kiti cha Mungu cha enzi katikati ya vita vyao vya kiroho. Vita hivi vikali vya kiroho vinasisitiza ubaya na uovu wa Shetani, na hasa vinasisitiza mamlaka na nguvu ya maneno ya Mungu. Wale wote ambao kwa kweli humwamini Mungu bila shaka watarudi mbele ya kiti cha Mungu cha enzi!

  Soma Zaidi
 • Vita Baina ya Haki na Uovu

  Watu wateule wa Mungu kutoka Kanisa la Mwenyezi Mungu wanashiriki hadithi zao za binafsi, wakifichua ukandamizaji wa kikatili wa CCP wa Wakristo na mateso yao ya imani za kidini, na pia kanusho lao la Mungu na upinzani dhidi ya Mungu na mwenendo wao muovu unaokiuka sheria za asili. Wao huchangua asili mbovu ya joka kubwa jekundu ya kuuchukia ukweli na kumchukia Mungu, na wanapata ufahamu kwamba ni Kristo wa siku za mwisho pekee anayeweza kumpa mwanadamu njia ya uzima wa milele, na ni wale tu wanaoikubali kazi ya Mungu katika siku za mwisho watakaobarikiwa zaidi.

  Soma Zaidi
Gawa
Pakua