Kitabu cha Mwongozo wa Imani

Makala 20

Ishara za Nyakati za Mwisho: Mwezi Mkuu wa Damu Kutokea tena mnamo 2021

Katika miaka ya hivi karibuni, katika upeo wa mbingu “mwezi wa damu” umeonekana mara kwa mara. Majanga mbalimbali kama vile magonjwa ya mlipuko, tetemeko ya ardhi, na njaa zinazidi kuwa mbaya. Unabii wa Biblia kuhusu siku za mwisho tayari umetimia, na siku kuu na ya kutisha ya Yehova iko karibu. Majanga makubwa sasa iko juu yetu, kwa hivyo tunapaswaje kukaribisha kurudi kwa Bwana? Nakala hii ina jibu.

Ukweli Kuhusu Kunyakuliwa

Nilitambua kwamba kama tunataka kuletwa mbele ya Mungu, cha umuhimu ni kwamba ni lazima tutafute maneno ambayo Roho Mtakatifu anasema kwa makanisa kwa kuwa tayari kupokea mawazo mapya. Ni lazima tuwe wanawali wenye busara na kutafuta kwa vitendo na kuchunguza sauti ya Bwana. Kwa njia hii, tutaweza kukaribisha kurudi kwa Bwana na kuletwa mbele ya Mungu!

Kusadiki Uvumi Kunamaanisha Kupoteza Wokovu wa Mungu wa Siku za Mwisho

Mafarisayo walieneza uongo na kumkashifu na kumkufuru Mungu, na sote tunaweza kukisia mwisho waliokumbana nao, lakini, je, wale watu wa Kiyahudi waliochukulia uongo na kashfa hizo kuwa ukweli—je, mwisho wao haukuwa wa huzuni hivyo? Walipitia maangamizi yasiyo ya kifani ya taifa na watu wa Kiyahudi walitawanyika pande zote. Hawakuwa na nyumbani pa kurudia kwa miaka 2,000. Je, haya siyo matokeo ya kuchukulia uongo wa Mafarisayo kuwa ukweli na kumpinga Mungu?

Ishara 6 za kurudi kwa Bwana Yesu Zimeonekana

Miaka elfu mbili iliyopita, Bwana Yesu alituahidi: “Tazama, Naja upesi” (Ufunuo 22:12). Sasa, kila aina ya ishara za kurudi Kwake zimeonekana, na ndugu wengi wamekuwa na maono kwamba siku ya Bwana iko karibu. Je, Bwana tayari Amerudi? Je, tunaweza kufanya nini ili kumkaribisha Bwana? Hebu tujadili hili sasa kwa kuchunguza unabii ulio katika Biblia.

Je, Maafa Yatakapofika, Utakuwa Umetimiza Toba ya Kweli?

Siku, maangamizi ya ulimwengu yanapokua makali zaidi, unabii wa kuja kwa Bwana umetimia. Bwana Yesu alisema, “Tubuni: kwa kuwa ufalme wa mbinguni u karibu” (Mathayo 4:17). Toba ya kweli ni nini hasa? Na tunawezaje kutimiza toba ya kweli? Makala haya yatakuambia majibu.

Wakristo Wanawezaje Kuacha Kutenda Dhambi? Jibu Liko Hapa!

Wakristo wengi mara nyingi hukiri na kusali mbele za Bwana, lakini wanaendelea kutenda dhambi baadaye, na kama matokeo, wanahisi kuchanganyikiwa. Kwa hivyo Wakristo wanapaswa kuepuka dhambi vipi hasa? Maandiko haya yanakuambia njia ya kujiweka huru kutokana na dhambi.

Ulimwengu Umezongwa na Maafa: Tutanyakuliwa Vipi Kabla ya Dhiki Kuu?

Virusi vya Corona huko Wuhan, nzige huko Afrika Mashariki, mioto ya misitu kule Australia..., maafa kama haya yamekuwa matukio ya kawaida kote ulimwenguni. Unabii wa Biblia kuhusu kuja kwa Bwana umetimia, kwa hivyo ni kwa nini bado hatujainuliwa kabla ya dhiki kuu? Tunaweza kunyakuliwa vipi?

Utabiri wa Nyakati za Mwisho Umetimia: Jinsi ya Kukaribisha Ujio wa Pili wa Bwana

Sasa ni nyakati za mwisho. Maafa ni matukio ya mara kwa mara ulimwenguni kote, na unabii wa kuwasili kwa Bwana umetimia; ishara na dalili tofauti zinaonyesha kuwa Bwana amerudi, hivyo, kwa nini Hajaonekana akirudi ndani ya wingu? Na tunawezaje kukaribisha kuwasili Kwake? Maandishi haya yatakuambia jinsi ya kufanya hivyo.

Je, Yesu Kristo Ni Mungu au Mwana wa Mungu?

Waumini wengi wanafikiria kwamba Bwana Yesu ni Mwana wa Mungu, lakini ufahamu huo unapatana na neno la Mungu? Je, Bwana Yesu kwa kweli ni Mwana wa Mungu au ni Mungu Mwenyewe? Endelea kusoma ili kujua.

Kwa Kuelewea Hizi Hoja Nne, Uhusiano Wetu na Mungu Utakuwa Wa Karibu Daima

“Jinsi ya kumkaribia Mungu” ni mada ambayo Wakristo wengi hufuata kwa makini. Katika enzi hii ambapo maisha hukimbia kwa mwendo wa kasi sana, mioyo yetu inaweza kusumbuliwa kwa urahisi na kumilikiwa na watu, matukio na mambo au kwa mahusiano ya kidunia, ambayo kisha husababisha uhusiano wetu na Mungu kuwa wa mbali zaidi na zaidi. Hivyo tunawezaje hasa kudumisha uhusiano wa karibu na Mungu? Bonyeza na usome makala yaliyo hapa chini, na utapata jibu.

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp