Kupata Mwili (1)

Kwa nini Bwana Yesu amekuwa mwili ili kufanya kazi katika siku za mwisho? Ni nini umuhimu wenye athari nyingi wa kupata mwili kwa Mungu? Kwa nini ni muhimu sana kwa wanadamu?

2019-02-21 02:40:47

Kupata Mwili (2)

Ni nini kiini cha Mungu mwenye mwili? Bwana Yesu ni Mwana wa Mungu au ni Mungu Mwenyewe? Kristo wa siku za mwisho anahitimishaje enzi nzee?

2019-02-21 03:40:47

Bwana Amerudi

Unabii wa Biblia wa kuja kwa mara ya pili kwa Bwana Yesu umetimizwa. Je, umekutana na Bwana? Je, unatamani kunyakuliwa kabla ya maafa?

2019-05-19 09:37:25