Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

多少个搜索结果

 多少个搜索结果

Hakuna matokeo yaliyopatikana!

Wimbo Mpya wa Kwaya ya Injili | “Wimbo wa Ufalme: Ufalme Washuka Duniani” | Wimbo wa Kuabudu na Kusifu
Kanisa la Mwenyezi Mungu, drama yenye muziki, wokovu, kuchanganyikiwa, utupu, upotovu, arakoa, upotovu, maisha katika bwalo la dansi

Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen" | Mungu ni upendo

Xiaozhen alikuwa Mkristo mwenye moyo safi, ulio na huruma, ambaye kila wakati alikuwa akiwashughulikia wenzake kwa uaminifu. Hata hivyo, ilipokuwa ni kwa manufaa yao, marafiki wake wa awali waligeuka na kuwa maadui wake. Baada ya kuteseka kutokana na msiba huu, Xiaozhen alilazimika kuuacha moyo wake wa kweli na kanuni zake za awali. Alianza kuisaliti dhamiri yake mwenyewe iliyo nzuri na roho safi, na kugaagaa katika kinamasi cha ulimwengu mbaya. … Huku akianguka kutoka kwa rehema na kutembea katika njia ya upotovu, alikanyagwa na ulimwengu na kukung’utwa na makovu na vilio. Alikuwa amefika mwisho kabisa, na katika wakati wa kukata tamaa wakati alikuwa amepoteza matumaini yote, mwishowe mwito wa kuaminika wa Mwenyezi Mungu ukauamsha moyo na roho ya Xiaozhen …

Mwenyezi, Mungu Anaongoza, Majaliwa, Filamu ya Muziki, Kikristo

Filamu ya c ya Muziki YULE ANAYESHIKILIA UKUU JUU YA KILA KITU

Filamu ya muziki ya Kikristo Yule Anayeshikilia Ukuu Juu Ya Kila Kitu inamshuhudia Mtawala wa ulimwengu kwa mtazamo mpya kabisa, ikikuongoza kuelewa jinsi Mungu alivyoumba na huvitawala vitu vyote, jinsi Anavyosimamia na kuviruzuku vitu vyote, na hekima Yake, uweza na matendo ya ajabu.