Ushuhuda wa Matukio ya Maisha

Zaidi

Ubora Duni wa Tabia Sio Kisingizio

Na Zhuiqiu, China Hapo zamani, kila wakati nilipokabiliwa na shida fulani wakati wa kutekeleza wajibu wangu, au nilifanya kazi yangu vibaya, nilidhan…

Asili ya Upendo wa Mungu Ni Nini?

Siqiu Mji wa Suihua, Mkoa wa Heilongjiang Wakati wowote ninapoona kifungu kinachofuata cha neno la Mungu, “Ikiwa daima umekuwa mwaminifu sana, uki…

Tazama zaidi

Ushuhuda wa Mateso

Zaidi

Mungu Ni Nguvu Yangu Katika Maisha

Na Xiaohe, Mkoa wa Henan Katika kile kilichohisi kama kufumba na kufumbua, nimemfuata Mwenyezi Mungu kwa miaka 14. Katika miaka hii yote, nimepitia m…

Wakati wa mateso Ya Kikatili

Na Chen Hui, China Nililelewa katika familia ya kawaida nchini China. Baba yangu alikuwa katika jeshi na kwa sababu nilikuwa nimeongozwa na kuathiriw…

Tazama zaidi

Ushuhuda wa Kumrudia Mungu

Zaidi

Vurugu Kutoka kwa Uvumi wa “Mei 28” (Sehemu ya 2)

Baada ya hilo, sikujihadhari tena dhidi ya ndugu wa Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wakati wowote nilipokuwa na muda ningesoma neno la Mungu na kutazama video, filamu, video za muziki, nyimbo, filamu za muziki na maonyesho mengine yaliyotolewa na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Kadiri nilivyozidi kutazama haya yote, ndivyo nilivyozidi kuhisi kupewa, na ndivyo nilivyozidi kuhisi raha. Nilidhibitisha kutoka kwa moyo wangu kwamba Mwenyezi Mungu ndiye kuonekana kwa Bwana Yesu.

Vurugu Kutoka kwa Uvumi wa “Mei 28” (Sehemu ya 1)

Lakini nilihisi udhibitisho moyoni mwangu kwa njia ambayo ndugu kutoka Kanisa la Mwenyezi Mungu waliishi, jinsi walivyoishi haikuwa ya uongo, ilikuwa onyesho la maisha yao baada ya kutenda maneno ya Mungu. Kwa sababu walizifuata nyayo za Mwanakondoo, walikuwa na kazi ya Roho Mtakatifu, na walikuwa na neno la Mungu kama uzima wao, waliweza kuishi kwa kudhihirisha mfano wa Mkristo wa kweli anayeleta utukufu kwa Mungu na kumshuhudia Mungu.

Siri ya Majina ya Mungu

“Ingawa Yehova, Yesu, na Masihi yote yanawakilisha Roho Wangu, majina haya yanaashiria tu enzi tofauti katika mpango Wangu wa usimamizi, nayo haya…

Tazama zaidi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp