Mungu amekuwa mwili nchini China katika siku za mwisho; ni msingi gani upo kwa jambo hili katika unabii wa Biblia na katika maneno ya Mungu?
Aya za Biblia za Kurejelea: “Kwa kuwa kuanzia kuchomoka kwa jua hadi hata kutua kwake jina langu litakuwa kubwa miongoni mwa Mataifa” (Malaki 1:11). …