
Kuonekana na Kazi ya Kristo wa Siku za Mwisho
Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho, Ameonyesha ukweli mbalimbali, Amefunua kila ukweli na siri katika Biblia, na kuwafichulia wanadamu maelezo ya ndani ya hatua tatu za kazi ya Mungu, siri ya Yeye kupata mwili, siri ya kazi Yake ya hukumu katika siku za mwisho, na kadhalika. Hii inathibitisha kwamba Mwenyezi Mungu ndiye Bwana Yesu aliyerudi, na kwamba Yeye ndiye kuonekana kwa Mungu katika siku za mwisho.
Vitabu vya Injili
-
Sehemu Ya Kwanza: Ukweli Ishirini wa Kushuhudia Kuonekana na Kazi ya Mungu
-
I. Maneno Juu ya Kuonekana na Kazi ya Mungu Mwenye Mwili
1Kupata mwili na umuhimu wake ni nini
2Tofauti kati ya kazi ya Mungu mwenye mwili na kazi ya Roho
4Tofauti muhimu kati ya Mungu mwenye mwili na hao watu ambao hutumiwa na Mungu
5Sababu ya kusemwa kuwa wanadamu wapotovu wanahitaji zaidi wokovu wa Mungu aliyepata mwili
6Sababu ya kusemwa kuwa kupata mwili kuwili kwa Mungu hukamilisha umuhimu wa kupata mwili
7Jinsi mtu anavyoweza kujua kwamba Kristo ndiye ukweli, njia na uzima
8Jinsi ambavyo Mungu anatamatisha enzi ya giza ya utawala wa Shetani katika siku za mwisho
9Kwa nini ni lazima kupitia kazi ya hukumu katika siku za misho ili kuweza kupata maarifa ya Mungu?
-
II. Maneno Juu ya Kazi ya Mungu ya Hukumu katika Siku za Mwisho
2Jinsi ambavyo kazi ya Mungu ya hukumu katika siku za mwisho inavyowatakasa na kuwaokoa wanadamu
3Kazi ya hukumu ya Mungu katika siku za mwisho ni kazi ya hukumu kutoka kwa kiti kikuu cha enzi
4Jinsi ambavyo mtu hujua umuhimu wa kazi ya hukumu ya Mungu katika siku za mwisho
5Athari na matokeo ya kutokubali kazi ya Mungu ya hukumu katika siku za mwisho
-
III. Maneno Juu ya Hatua Tatu za Kazi ya Mungu ya Wokovu kwa Wanadamu
-
IV. Maneno Juu ya Uhusiano Kati ya Hatua Tatu za Kazi ya Mungu na Majina Yake
-
V. Tofauti Kati ya Kazi ya Mungu ya Hukumu Katika Siku za Mwisho na Kazi Yake ya Ukombozi Katika Enzi ya Neema
-
VI. Tofauti Kati ya Kuokolewa Katika Enzi ya Neema na Kufikia Wokovu Kamili katika Enzi ya Ufalme
-
VII. Tofauti Kati ya Njia ya Toba katika Enzi ya Neema na Njia ya Uzima wa Milele Katika Siku za Mwisho
-
VIII. Tofauti Kati ya Kazi ya Mungu na Kazi ya Mwanadamu
-
IX. Kristo ni Onyesho la Mungu Mwenyewe
-
X. Maneno Kuhusu Kumjua Mungu
2Jinsi mtu anavyoweza kujua tabia na kiini cha Mungu
3Jinsi ambavyo Mungu hudhihirisha tabia Yake ya haki kwa wanadamu
4Njia ambazo kwazo uweza na hekima ya Mwenyezi Mungu hufichuliwa hasa
5Jinsi ambavyo Mungu aliwaongoza na kuwaruzuku wanadamu hadi leo
6Jinsi ambavyo Mungu huutawala na kuusimamia ulimwengu mzima
-
XI. Maneno Juu ya Uhusiano kati ya Mungu na Biblia
-
XII. Maneno Juu ya Wanawali Wenye Busara Wakiisikia Sauti ya Mungu
-
XIII. Maneno Juu ya Kunyakuliwa na Kuinuliwa Mbele ya Kiti cha Enzi cha Mungu
-
XIV. Uhimu wa Mungu Kuwa Mwili Nchini China Katika Siku za Mwisho
-
XV. Tofauti Kati ya Kanisa la Mungu na Mashirika ya Kidini
-
XVI. Jinsi ya Kutambua Asili ya Dunia wa kidini ambayo Humkana Mungu
-
XVII. Sababu ya Njia ya Kweli Kupitia Mateso Tangu Nyakati za Kale
-
XVIII. Iwapo Mungu ni Mungu wa Utatu au ni Mungu Mmoja wa Kweli
-
XIX. Jinsi ya Kutambua Uhalisi wa Ukweli na Maarifa ya Kitheolojia
-
XX. Kufuata Mapenzi ya Mungu na Ushuhuda wa Kweli ni Nini
-
Sehemu ya Pili: Ni Fikira Zipi za Kidini Lazima Zitatuliwe Katika Imani ya Mtu kwa Mungu ili Kuwa Sambamba na Kazi ya Mungu?
-
Sehemu ya Tatu: Maswali na Majibu juu ya Ukweli
2Kwa nini inamlazimu Mungu kuwahukumu na kuwaadibu watu?
3Watu wanafaa kupitiaje hukumu na adabu ya Mungu ili kuokolewa?
4Inamaanisha nini kuomba kwa kweli?
5Mtu anawezaje kuanzisha uhusiano wa kawaida na Mungu?
6Mtu mwaminifu ni nani? Kwa nini Mungu huwapenda watu waaminifu?
7Mtu mdanganyifu ni nani? Kwa nini watu wadanganyifu hawawezi kuokolewa?
8Kuna tofauti ipi kati ya mtu mwaminifu na mtu mdanganyifu?
9Mtu anafaaje kutenda kuingia kuwa mtu mwaminifu?
10Mtu kutekeleza wajibu wake ni nini?
11Kuna tofauti ipi kati ya mtu kutekeleza wajibu wake na kutoa huduma?
12Ni nini maana ya “acha kila kitu nyuma na kumfuata Mungu”?
13Kuna tofauti ipi kati ya kuuelewa ukweli na kuyaelewa mafundisho?
14Kujihusisha katika sherehe ya kidini ni nini?
15Kwa nini makanisa yanaweza kupotoka na kuwa dini?
16Mpinga Kristo ni nini? Mpinga Kristo anaweza kutambuliwaje?
17Kristo wa uongo ni nini? Kristo wa uongo anaweza kutambuliwaje?
23Kuna tofauti ipi kati ya ngano na magugu?
24Kuna tofauti ipi kati ya mtumishi mwema na mtumishi muovu?
25Kazi ya Roho Mtakatifu ni nini? Kazi ya Roho Mtakatifu hudhihirishwaje?
26Mtu anawezaje kupata kazi ya Roho Mtakatifu?
27Kazi ya pepo wabaya ni nini? Kazi ya pepo wabaya hudhihirishwaje?
28Kuna tofauti zipi kati ya kazi ya Roho Mtakatifu na kazi ya pepo wabaya?
29Kupagawa ni nini? Kupagawa hudhihirishwaje?
30Kwa nini Mungu hawaokoi wale wanaofanyiwa kazi na pepo wabaya na wale waliopagawa?
31Wanawali wenye hekima ni nini? Wanawali wapumbavu ni nini?
32Ni thawabu ipi inayopewa wanawali wenye hekima? Wanawali wapumbavu wataanguka katika maafa?
33Unyakuo kabla ya maafa ni nini? Ni nini mshindi anayekamilishwa kabla ya maafa?
34Kila mtu asiyemkubali Mwenyezi Mungu kwa kweli ataanguka katika maafa?
35Kwa nini Mungu atawaweka wale wanaokataa kumkubali Mwenyezi Mungu katika maafa?
36Ni watu wangapi wa dini watakaorudi kwa Mungu katika maafa?
37Mabadiliko ya tabia ni nini?
38Mabadiliko ya tabia hudhihirishwaje?
39Kuna tofauti zipi kati ya mabadiliko ya tabia na tabia nzuri?
40Matendo mema ni nini? Maonyesho ya matendo mema ni yapi?
41Matendo maovu ni yapi? Maonyesho ya matendo maovu ni yapi?
42Mungu huwaokoa watu gani? Yeye huwaondosha watu gani?
43Mungu hutegemeza nini uamuzi Wake wa mwisho wa mtu?
44Watu wa Mungu ni nini? Watendaji huduma ni nini?
45Ahadi za Mungu kwa wale ambao wameokolewa na kukamilishwa ni zipi?