Jina la Mungu
  • 1 Imeandikwa pale pale katika Biblia: “Yesu Kristo ni yuyo huyo jana, na leo na daima” (Waebrania 13:8). Kwa hiyo jina la Bwana halibadiliki kamwe! Lakini unasema kwamba wakati Bwana atakapokuja tena katika siku za mwisho atachukua jina jipya na ataitwa Mwenyezi Mungu. Unawezaje kulielezea?
  • 2 Bwana Yesu alitundikwa msalabani kama sadaka ya dhambi kwa mwanadamu, na hivyo akitukomboa kutoka kwa dhambi. Tukipotea kutoka kwa Bwana Yesu na kumwamini Mwenyezi Mungu, si huu utakuwa usaliti wa Bwana Yesu? Si huu utakuwa uasi?

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp