Mtu anapaswaje kuitambua sauti ya Mungu? Je, mtu anawezaje kuthibitisha kwamba Mwenyezi Mungu kweli ni Bwana Yesu aliyerudi?
Aya za Biblia za Kurejelea: “Kondoo wangu huisikia sauti yangu, na mimi Ninawajua, nao hunifuata” (Yohana 10:27). “Bado ningali nayo mengi ya kuwaam…