Njia ya Kuwasili kwa Bwana
  • 1 Swali la 2: Unashuhudia kwamba Mungu amekuwa mwili na kuwa Mwana wa Adamu ili kufanya kazi ya hukumu katika siku za mwisho, na bado wengi wa wachungaji wa kidini na wazee wa kanisa wanakiri kwamba Bwana atarudi akija na mawingu, na wanategemeza hili hasa aya za Biblia: “Huyu Yesu … atakuja kwa namna hiyo hiyo ambayo mmemuona akienda mbinguni” (Matendo 1:11). “Tazama, anakuja na mawingu; nalo kila jicho litamwona yeye” (Ufunuo 1:7). Na zaidi ya hayo, wachungaji wa kidini na wazee wa kanisa pia hutufundisha kwamba Bwana Yesu yeyote asiyekuja na mawingu ni wa uongo na lazima aachwe. Kwa hiyo hatuna uhakika kama mtazamo huu unakubaliana na Biblia; ni sahihi kuchukua huu kama ukweli au la?
  • 2 Swali la 3: Unasema kwamba Bwana Yesu amerudi, kwa nini hatujamwona? Kuona ni kuamini. Kama hatujamwona, basi hilo lazima limaanishe kuwa Yeye hajarudi bado; nitaamini hilo nitakapomwona. Unasema kwamba Bwana Yesu amerudi, kwa hiyo Yuko wapi sasa? Anafanya kazi gani? Bwana Amesema maneno gani? Nitaliamini ukishuhudia kwa dhahiri mambo haya.
  • 3 Kwa nini kazi ya Mungu katika siku za mwisho haifanywi kupitia njia ya Roho? Kwa nini Mungu amekuja kufanya kazi Yake katika mwili?
  • 4 Kwa nini kurudi kwa Bwana kunahusisha kupata mwili—kushuka kwa siri—na pia kushuka hadharani kutoka mawinguni?
  • 5 Swali la 6: Sote twajua kwamba Bwana Yesu alikuwa kupata mwili kwa Mungu. Baada ya kumaliza kazi Yake, Alisulubiwa na kisha Akafufuka, Akionekana mbele ya wanafunzi Wake wote na Akapaa mbinguni katika mwili Wake mtukufu wa kiroho. Kama Biblia inavyosema: “Ninyi wanadamu wa Galilaya, mbona mnasimama mkiangalia mbinguni? huyu Yesu, ambaye amechukuliwa kutoka kwa ninyi kwenda mbinguni, atakuja kwa namna hiyo hiyo ambayo mmemuona akienda mbinguni” (Matendo 1:11). Kwa hiyo, maandiko ya biblia yanathibitisha kwamba Bwana atakaporudi tena, utakuwa mwili wake wa kiroho uliofufuliwa unaoonekana kwetu. Katika siku za mwisho, mbona Mungu amepata mwili katika umbo la mwili la Mwana wa Adamu kufanya kazi ya hukumu? Kuna tofauti gani kati ya mwili wa kiroho uliofufuka wa Bwana Yesu na kupata mwili Kwake kama Mwana wa Adamu?

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Wasiliana Nasi
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp