Wimbo wa Kusifu | Hakuna Kiumbe Aliyeumbwa Aliye na Upendo wa Mungu

29/06/2020

Maneno ya Mungu yamejaa uzima, hutupa njia tunayopasa kutembea,

kutupa ufahamu kuhusu ukweli ni nini.

Tunaanza kuvutiwa na maneno Yake,

tunaanza kuzingatia sauti Yake na jinsi Anavyoongea,

na bila hiari tunaanza kuvutiwa na hisia

za ndani kabisa za mwanadamu huyu asiye wa ajabu.

Yeye hutema damu ya moyo Wake kwa niaba yetu,

hupoteza usingizi na hamu ya chakula kwa ajili yetu,

analia kwa ajili yetu, anashusha pumzi kwa ajili yetu,

anaugua magonjwa akigumia kwa ajili yetu,

anadhalilishwa kwa ajili ya wokovu na hatima yetu,

na uasi wetu na kufa ganzi kwetu kunatoa machozi na damu kutoka kwa moyo Wake.

Njia hii ya kuwa na kumiliki si ya mtu wa kawaida, wala haiwezi

kumilikiwa au kufikiwa na mtu yeyote aliyepotoka.

Anaonyesha uvumilivu na subira isiyomilikiwa na mtu wa kawaida,

anaonyesha uvumilivu na subira isiyomilikiwa na mtu wa kawaida,

na upendo Wake si kitu ambacho kiumbe chochote kimepewa.

Anaonyesha uvumilivu na subira isiyomilikiwa na mtu wa kawaida,

anaonyesha uvumilivu na subira isiyomilikiwa na mtu wa kawaida,

na upendo Wake si kitu ambacho kiumbe chochote kimepewa.

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp