Ushuhuda wa Kweli | Jinsi ya Kuuchukulia Wajibu Wako

30/07/2020

Mhusika mkuu anamwamini Mungu kwa dhati na anafanya wajibu wake kwa shauku, lakini anasimamia kazi ya kanisa kana kwamba ni biashara yake ya binafsi. Kina ndugu walioko chini ya uongozi wake wanapohitaji kuhamishwa kwenye timu nyingine, anaonea wasiwasi athari ambazo hilo litasababishia kazi ya timu yake na anapinga vikali. Yeye huhusi kila mara kwamba washiriki wa timu ambao amewafundisha wanapaswa kukaa na kusogeza mbele kazi ya timu yake, na anatoa udhuru wa kujaribu kuzuia uhamisho wao kila mara. Je, anaishiaje kuacha ubinafsi wake, na anabadilishaje mtazamo wake mbaya kwa wajibu wake? Tazama Jinsi ya Kuuchukulia Wajibu Wako ili kujua.

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp