Ushuhuda wa Kweli | Wokovu wa Mungu

07/07/2020

Baada ya kumwamini Mungu, mhusika mkuu anapata shauku ya kufanya wajibu wake na kujitumia. Hata hivyo, amepotoshwa na kukengeushwa na sumu za Shetani kama vile “Kujipatia sifa na kuleta heshima kwa mababu zake” na “Wenye ubongo hutawala wenye misuli.” Hawezi kujizuia kufuatilia umaarufu na hadhi na anajikuta akidhibitiwa na tabia yake ya kiburi. Anashindania mamlaka na faida na wafanyakazi wenzake, na anawakaripia na kuwakwaza kina ndugu wengine, akitaka kuwa na kauli ya mwisho katika kila jambo. Hata hivyo, kupitia hukumu na ufunuo wa maneno ya Mungu, anapata ufahamu kiasi juu ya ufuatiliaji wake usio sahihi na pia tabia yake potovu. Baadaye, anakamatwa na polisi na kuteswa kikatili na kutiwa kasumba na CCP kwa nguvu. Kupitia hili, anaweza kutambua kiini kiovu cha CCP, na anatafakari kuhusu joka kubwa jekundu na kupata ufahamu kuhusu sumu zake zilizokuwa ndani yake; kwa hivyo anaanza kujuta, kujichukia, na kutubu kwa Mungu …

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp